N NGOMEKONGWE2021 JF-Expert Member Joined Dec 6, 2021 Posts 616 Reaction score 1,225 Sep 21, 2022 #41 Stuxnet said: Kama unaweza kutoka machozi kw hotuba ya huyo Shetani basi una kasoro za kinasaba. Tafuta madaktari wa saikolijia wakutibu. Mpumbavu mkubwa unatoka machozi halafu unapata mpaka ujasiri wa kuandika hapa kuwa machozi yamekutoka Click to expand... bwege sana hilo lijamaa
Stuxnet said: Kama unaweza kutoka machozi kw hotuba ya huyo Shetani basi una kasoro za kinasaba. Tafuta madaktari wa saikolijia wakutibu. Mpumbavu mkubwa unatoka machozi halafu unapata mpaka ujasiri wa kuandika hapa kuwa machozi yamekutoka Click to expand... bwege sana hilo lijamaa
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Sep 21, 2022 #42 kyagata said: Endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa. View attachment 2363419 Click to expand... Wananchi tunamwelewa, chadema Kuna kizazi kitamwelewa Magufuli. Sasa nchi haina kiongozi.
kyagata said: Endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa. View attachment 2363419 Click to expand... Wananchi tunamwelewa, chadema Kuna kizazi kitamwelewa Magufuli. Sasa nchi haina kiongozi.
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Sep 21, 2022 #43 AGITATOR said: Huyu mtu alikuwa Jiwe hasa. Kuja kupata visionary leader kama huyu itachukua muda sana. R. I. P shujaa wa Africa. Click to expand... Kweli, wema hawana maisha. Majizi yalifurahi sana alichofanyiwa.
AGITATOR said: Huyu mtu alikuwa Jiwe hasa. Kuja kupata visionary leader kama huyu itachukua muda sana. R. I. P shujaa wa Africa. Click to expand... Kweli, wema hawana maisha. Majizi yalifurahi sana alichofanyiwa.
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Sep 24, 2022 #44 Magufuli ALISEMA anataka matajiri waishi kama mashetani.