Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

Izuri wake tunashukuru kwani imejua imejichanganya
 
Umenunua kiwanja cha familia kwa mtu mmoja zengwe limeanza umewabembeleza wamekurudishia hela yako alafu unataka kurudi tena eti kwa familia nzima unataka ikuuzie hichohicho kiwanja haya bn


Unaweza kumsaidia hata akiwa mbali
 
Watu wake siwajui. lakini aliniunganisha na mama yake tukawa tunawasiliana Kwa simu
 
Story yakweli kabisa mkuu. Nilijichanganya nikahisi kama namsaidia kumbe nilikuwa nimepotoka. Mambo aliyonieleza ni mengi sana yaliyomsibu mpaka sasa ana miaka 20 alitoka kwao akiwa na miaka 17 akapelekwa mjini kufanya kazi kazi yenyewe bar.amekutana na wale wauzabaa konki wakamfunza udangaji mwisho wa siku ndio kama hivyo.
 
Nakubaliana na wewe πŸ’― Kwa muda niliokaa nae nimemkifu kwahizo dharau.
 
Kumbafu wewe
 
Baba lea mimba hiyoπŸ˜€πŸ˜€
 
1. Suala la kuoa ni la kwako na si la wazazi. Waswahili huwa tunashindwa kuendelea Kwa sababu eti ndugu, Marafiki, majirani, ninaosali nao watanionaje.
Huyo mwanamke alikuwa ndo watakuona vizuri kwenye jeneza.

2. Kamwe usimwonee huruma mwanamke.


3. Anayoyafanya kwako ndo aliyokuwa akiyafanya kwa hiyo alombebesha mimba jamaa akaona usiwe shida, kafie mbele huko.

4. Jambo hili hukupaswa kuliketa hapa eti tukushauri otherwise utakuwa bado una miaka 18 hivi.


5. Wewe inampenda, hata tukikushauri vipi hutofuata ushauri wa mtu hapa.
Kenge huwa anasikia akiona damu zinamtoka masikioni mwake.
 
Mkuu,So wewe ulipokea Mimba ya Mwanaume mwingine na ukajiona Kidume?Ushauri,Mpe Mahitaji yote ya Kujifungua salama na kodi mlipie kabisa ila usiishi naye nyumba moja wala usimuoe wala usitake mtoto apewe jina lako wala nini.Yeyey awe singo maza na wewe uwe Huru kuoa mwingine.Siku ingine uache huo ujinga.Wanawake huwa wanawajua waliowatia Mimba...
 
Bila picha yake hii itakua chai bora.
 
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…