Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu ambao wapo depressed Kama hao ukikutana nao fanya hivi
Msaidie na umrejeshe katika comfort zone .
Mpe msaada ambao unaona upo ndani ya uwezo wako then baada ya hapo yeye mwenyewe achague kukupenda au kuendelea na maisha
Kama akikupenda it is OK Ila akiendelea na maisha it is OK utakuwa umepanda wema
Usije ukarudia tena kutumia shida za mwanamke Kama advantage ya kumpata utaumia Sana
Ushauri
Kwakuwa Ana mimba kubwa endelea kumsiadia ajifungue na akijifungua muhudumie angalau three months then mruhusu aendelee na maisha
Aishi humo sana tu.Mleta mada ishi hapa.
Bila kuchoka 💪Mapenzi na huruma havikai pamoja mkuu, achana na huyo mshenzi wa tabia. Shukuru sana hilo baya limekuepuka, kama una huruma sana msaidie gharama ya vifaa vya kujifungulia ila sio kumrudisha kwako..
Unachukua mwanamke mwenye mimba ya mtu mwingine yanini? Ng'ombe tu ndio unaweza mchukua akiwa na mimba ila sio binadamu. Nna imani umejifunza na usirudie kosa.
Acha kujibebesha majukumu kwani hana wazazi au ndugu ?.Naomba ushauri nifanyaje nashindwa nitawaelezaje nyumbani kuhusu hili suala.
Nishauri mkuu nimekwama
Mapenzi na huruma havikai pamoja mkuu, achana na huyo mshenzi wa tabia. Shukuru sana hilo baya limekuepuka, kama una huruma sana msaidie gharama ya vifaa vya kujifungulia ila sio kumrudisha kwako..
Unachukua mwanamke mwenye mimba ya mtu mwingine yanini? Ng'ombe tu ndio unaweza mchukua akiwa na mimba ila sio binadamu. Nna imani umejifunza na usirudie kosa.
Achana na huyo kiumbe, katika kitu utajutia maishani ni kurudiana na huyo kiumbeNishauri mkuu nimekwama
Wewe japo hayashauriki ila huo ni uzwazwa huyo sio mwanamke kaja kupata unafuu tu hapo ,na akija kujifungua akajipata lazima atamtafuta huyo bwana ake kwa nguvu zote na wataanza kuwasiliana kwa ajili ya amani ya moyo wako hama hapo, wazee utajua tu la kuwaeleza,mwanamke asiye na adabu namchukia sana sanA PIGA CHINI HUYO ACHA MAZOEA YA KIS&NGE MPAKA NAPATA HASIRAMwezi watano katika mihangaiko yangu nikakutana na mdada mmoja nikamwelewa tukayajenga mwisho tukakubaliana kuishi pamoja.
Alinieleza changamoto zinazomkabili huku akiwa na mimba ya miezi 2 anasema baba wa mtoto wamepotezana ni watu waliokutana katika kudanga hivyo hajui namna ya kumpata.
Hivyo basi nikajitoa kwa nia ya kumpata mke na kutoa msaada. Tukakubaliana itakuwa ni siri yetu na nikimuoa mtoto atatambulika ni wangu kawaida.
Sasa basi tukakaa pamoja kama miezi miwili akaniambia nimtambulishe kwa wazazi nikafanya hivyo nikampeleka Kwa wazazi wakamwona na wakampenda.
Sasa baada yakurudi mjini akaanza dharau ananidharau mpaka aibu Kwa majirani Yani ananifokea kama mtoto.
Kibaya zaidi anafanya kosa nikimweleza anakuwa mkali huku akisema kwa sauti "unafanya hivi kwasababu sio damu yako" ameshatangaza Kwa majirani wote kuwa mimba sio yangu.
Mwisho ameamuwa kuongea maneno mengi ya aibu na dharau kisha akaondoka mwenyewe. Ikumbukwe kwamba ameshataka kuondoka zaidi ya mara tatu nikamzuia akaona kama namng'angania akazidisha jeuri na dharau.
Sasa alipoamuwa kuondoka alisema hatarudi nyuma kwanza kwangu palikuwa panamtesa analishwa vyakula ambavyo hataki kwani yeye anataka ale chipsi Kila siku. Akafikia hatua ya kuniambia mimi sio mwanaume.
Mimi nikamuacha akakusanya virago vyake akaondoka zake mwenyewe. Sasa cha kushangaza kesho yake tu anaanza kuomba kurudi nikamwambia mimi ndio sirudi nyuma nenda kakae huko huko Kwa walio wanaume.
Akaenda akapangisha jirani na hapa napoishi mimi kisha ananisumbua sana anasema anateseka anaomba msamaha lakini mimi simtaki tena lakini kwaupande mwingine mimi roho inaniuma mimba sio yangu lakini Kuna roho ya huruma ninayo juu yake.
Ukizingatia mimba imefika miezi 8 ananiambia anataka vifaa vya kujifungulia na analala njaa hana chakula na analala kwenye mkeka.
Naomba ushauri nifanyaje nashindwa nitawaelezaje nyumbani kuhusu hili suala.
AiseeMwezi watano katika mihangaiko yangu nikakutana na mdada mmoja nikamwelewa tukayajenga mwisho tukakubaliana kuishi pamoja.