Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

Wnder

Member
Joined
Sep 1, 2024
Posts
13
Reaction score
42
Mwezi watano katika mihangaiko yangu nikakutana na mdada mmoja nikamwelewa tukayajenga mwisho tukakubaliana kuishi pamoja.

Alinieleza changamoto zinazomkabili huku akiwa na mimba ya miezi 2 anasema baba wa mtoto wamepotezana ni watu waliokutana katika kudanga hivyo hajui namna ya kumpata.

Hivyo basi nikajitoa kwa nia ya kumpata mke na kutoa msaada. Tukakubaliana itakuwa ni siri yetu na nikimuoa mtoto atatambulika ni wangu kawaida.

Sasa basi tukakaa pamoja kama miezi miwili akaniambia nimtambulishe kwa wazazi nikafanya hivyo nikampeleka Kwa wazazi wakamwona na wakampenda.

Sasa baada yakurudi mjini akaanza dharau ananidharau mpaka aibu Kwa majirani Yani ananifokea kama mtoto.

Kibaya zaidi anafanya kosa nikimweleza anakuwa mkali huku akisema kwa sauti "unafanya hivi kwasababu sio damu yako" ameshatangaza Kwa majirani wote kuwa mimba sio yangu.

Mwisho ameamuwa kuongea maneno mengi ya aibu na dharau kisha akaondoka mwenyewe. Ikumbukwe kwamba ameshataka kuondoka zaidi ya mara tatu nikamzuia akaona kama namng'angania akazidisha jeuri na dharau.

Sasa alipoamuwa kuondoka alisema hatarudi nyuma kwanza kwangu palikuwa panamtesa analishwa vyakula ambavyo hataki kwani yeye anataka ale chipsi Kila siku. Akafikia hatua ya kuniambia mimi sio mwanaume.

Mimi nikamuacha akakusanya virago vyake akaondoka zake mwenyewe. Sasa cha kushangaza kesho yake tu anaanza kuomba kurudi nikamwambia mimi ndio sirudi nyuma nenda kakae huko huko Kwa walio wanaume.

Akaenda akapangisha jirani na hapa napoishi mimi kisha ananisumbua sana anasema anateseka anaomba msamaha lakini mimi simtaki tena lakini kwaupande mwingine mimi roho inaniuma mimba sio yangu lakini Kuna roho ya huruma ninayo juu yake.

Ukizingatia mimba imefika miezi 8 ananiambia anataka vifaa vya kujifungulia na analala njaa hana chakula na analala kwenye mkeka.

Naomba ushauri nifanyaje nashindwa nitawaelezaje nyumbani kuhusu hili suala.
 
Mapenzi na huruma havikai pamoja mkuu, achana na huyo mshenzi wa tabia. Shukuru sana hilo baya limekuepuka, kama una huruma sana msaidie gharama ya vifaa vya kujifungulia ila sio kumrudisha kwako..
Unachukua mwanamke mwenye mimba ya mtu mwingine yanini? Ng'ombe tu ndio unaweza mchukua akiwa na mimba ila sio binadamu. Nna imani umejifunza na usirudie kosa.
 
Hajakosea huyo dada maana inaonekana we mtu wa kukurupuka tu umefika hujasalimia unaanza kuelezea mauza uza yako wenzako wanasalimia kwanza
 
Mwezi watano katika mihangaiko yangu nikakutana na mdada mmoja nikamwelewa tukayajenga mwisho tukakubaliana kuishi pamoja.

Alinieleza changamoto zinazomkabili huku akiwa na mimba ya miezi 2 anasema baba wa mtoto wamepotezana ni watu waliokutana katika kudanga hivyo hajui namna yakumpata.

Hivyo basi nikajitoa kwa nia yakumpata mke na kutoa msaada. Tukakubaliana itakuwa ni siri yetu na nikimuowa mtoto atatambulika ni wangu kawaida.

Mrudie labda kisiran cha mimba hicho. Ni kabila gan huyo?
 
ulinunua kiwanja chenye mgogoro ukakomaa ukarudishiwa pesa yako naona sasa unarudi tena kwa kisingizio cha huruma, hivi bwana mdogo unataka uone kitu gani kingine ili uelewe kuwa huyo mdangaji siyo sahihi kwako?
 
Mwezi watano katika mihangaiko yangu nikakutana na mdada mmoja nikamwelewa tukayajenga mwisho tukakubaliana kuishi pamoja.

Alinieleza changamoto zinazomkabili huku akiwa na mimba ya miezi 2 anasema baba wa mtoto wamepotezana ni watu waliokutana katika kudanga hivyo hajui namna yakumpata.

Hivyo basi nikajitoa kwa nia yakumpata mke na kutoa msaada. Tukakubaliana itakuwa ni siri yetu na nikimuowa mtoto atatambulika ni wangu kawaida.

Sasa basi tukakaa pamoja kama miezi miwili akaniambia nimtambulishe kwa wazazi nikafanya hivyo nikampeleka Kwa wazazi wakamwona na wakampenda.

Sasa baada yakurudi mjini akaanza dharau ananidharau mpaka aibu Kwa majirani Yani ananifokea kama mtoto.

Kibaya zaidi anafanya kosa nikimweleza anakuwa mkali huku akisema kwa sauti "unafanya hivi kwasababu sio damu yako" ameshatangaza Kwa majirani wote kuwa mimba sio yangu.

Mwisho ameamuwa kuongea maneno mengi ya aibu na dharau kisha akaondoka mwenyewe. Ikumbukwe kwamba ameshataka kuondoka zaidi ya mara tatu nikamzuia akaona kama namng'angania akazidisha jeuri na dharau.

Sasa alipoamuwa kuondoka alisema hatarudi nyuma kwanza kwangu palikuwa panamtesa analishwa vyakula ambavyo hataki kwani yeye anataka ale chipsi Kila siku. Akafikia hatua ya kuniambia mimi sio mwanaume.

Mimi nikamuacha akakusanya virago vyake akaondoka zake mwenyewe. Sasa cha kushangaza kesho yake tu anaanza kuomba kurudi nikamwambia mimi ndio sirudi nyuma nenda kakae huko huko Kwa walio wanaume.

Akaenda akapangisha jirani na hapa napoishi mimi kisha ananisumbua sana anasema anateseka anaomba msamaha lakini mimi simtaki tena lakini kwaupande mwingine mimi roho inaniuma mimba sio yangu lakini Kuna roho ya huruma ninayo juu yake.

Ukizingatia mimba imefika miezi 8 ananiambia anataka vifaa vya kujifungulia na analala njaa hana chakula na analala kwenye mkeka.

Naomba ushauri nifanyaje nashindwa nitawaelezaje nyumbani kuhusu hili suala.
Chukua roho ya kiume msaidie ajifungue ila usimuoe.
Usimlete kwako tena, atakutesa sana
 
Watu ambao wapo depressed Kama hao ukikutana nao fanya hivi

Msaidie na umrejeshe katika comfort zone .

Mpe msaada ambao unaona upo ndani ya uwezo wako then baada ya hapo yeye mwenyewe achague kukupenda au kuendelea na maisha

Kama akikupenda it is OK Ila akiendelea na maisha it is OK utakuwa umepanda wema

Usije ukarudia tena kutumia shida za mwanamke Kama advantage ya kumpata utaumia Sana

Ushauri

Kwakuwa Ana mimba kubwa endelea kumsiadia ajifungue na akijifungua muhudumie angalau three months then mruhusu aendelee na maisha
 
Mapenzi na huruma havikai pamoja mkuu, achana na huyo mshenzi wa tabia. Shukuru sana hilo baya limekuepuka, kama una huruma sana msaidie gharama ya vifaa vya kujifungulia ila sio kumrudisha kwako..
Unachukua mwanamke mwenye mimba ya mtu mwingine yanini? Ng'ombe tu ndio unaweza mchukua akiwa na mimba ila sio binadamu. Nna imani umejifunza na usirudie kosa.
Depression ina depression🤣🤣
 
Mwezi watano katika mihangaiko yangu nikakutana na mdada mmoja nikamwelewa tukayajenga mwisho tukakubaliana kuishi pamoja.

Alinieleza changamoto zinazomkabili huku akiwa na mimba ya miezi 2 anasema baba wa mtoto wamepotezana ni watu waliokutana katika kudanga hivyo hajui namna yakumpata.

Hivyo basi nikajitoa kwa nia yakumpata mke na kutoa msaada. Tukakubaliana itakuwa ni siri yetu na nikimuowa mtoto atatambulika ni wangu kawaida.

Sasa basi tukakaa pamoja kama miezi miwili akaniambia nimtambulishe kwa wazazi nikafanya hivyo nikampeleka Kwa wazazi wakamwona na wakampenda.

Sasa baada yakurudi mjini akaanza dharau ananidharau mpaka aibu Kwa majirani Yani ananifokea kama mtoto.

Kibaya zaidi anafanya kosa nikimweleza anakuwa mkali huku akisema kwa sauti "unafanya hivi kwasababu sio damu yako" ameshatangaza Kwa majirani wote kuwa mimba sio yangu.

Mwisho ameamuwa kuongea maneno mengi ya aibu na dharau kisha akaondoka mwenyewe. Ikumbukwe kwamba ameshataka kuondoka zaidi ya mara tatu nikamzuia akaona kama namng'angania akazidisha jeuri na dharau.

Sasa alipoamuwa kuondoka alisema hatarudi nyuma kwanza kwangu palikuwa panamtesa analishwa vyakula ambavyo hataki kwani yeye anataka ale chipsi Kila siku. Akafikia hatua ya kuniambia mimi sio mwanaume.

Mimi nikamuacha akakusanya virago vyake akaondoka zake mwenyewe. Sasa cha kushangaza kesho yake tu anaanza kuomba kurudi nikamwambia mimi ndio sirudi nyuma nenda kakae huko huko Kwa walio wanaume.

Akaenda akapangisha jirani na hapa napoishi mimi kisha ananisumbua sana anasema anateseka anaomba msamaha lakini mimi simtaki tena lakini kwaupande mwingine mimi roho inaniuma mimba sio yangu lakini Kuna roho ya huruma ninayo juu yake.

Ukizingatia mimba imefika miezi 8 ananiambia anataka vifaa vya kujifungulia na analala njaa hana chakula na analala kwenye mkeka.

Naomba ushauri nifanyaje nashindwa nitawaelezaje nyumbani kuhusu hili suala.
Msaidie ajifungue salama hapo hapo alipopanga, kisha acha mipango ya kuwa naye kimaisha.
Huruma uliyonayo ndiyo atakayoitumia , maana amejua udhaifu wako.

Msaidie kisha nenda zako
 
Huyoo ndioo mzurii futaa neno umejichanganyaaa

Mungu akupi unachotaka anakupa unachostahiliii

Maisha memaa

Roger
 
Usitumie moyo kupendaaa, tumia akili utakwamaaa, muonee huruma maana ni mtoto wa mama yako huyo
 
Nimesoma huu uzi huku nikibubujikwa machozi...

1000012653.gif
 
Back
Top Bottom