Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

Usitumie moyo kupendaaa ,tumia akili utakwamaaa ,muonee huruma maana ni mtoto wa mama yako huyo
Kabisaa mkuuuu

Mimi na gfriend alipewa mimbaa akakimbiwa mkuu hapo niko na family

Nilijitoa kwa yule mtoto kila nikiwaza mema ya yule dadaa mpaka sasa mtoto yuko la tano St....nalipa nusu Ada na ananiita dady did y maisha yanaenda...
 
Wanawake wa dizain hiyo ndo wanatufanya wanawake wengi tuonekane wabaya. kaka wewe msaidie vifaa vya hospitali kama sadaka ya kiumbe alichobeba make hakina hatia Mungu atakulipa ila kamwe usimrudishe kwako acha dunia imfunze. na ikiwezekana hama kabisa maeneo hayo Mungu atakupa wa kufanana nae. ila wewe toa msaada kama sadaka tu. ukimrudia atakusumbua sana.
 
Mwezi watano katika mihangaiko yangu nikakutana na mdada mmoja nikamwelewa tukayajenga mwisho tukakubaliana kuishi pamoja.

Alinieleza changamoto zinazomkabili huku akiwa na mimba ya miezi 2 anasema baba wa mtoto wamepotezana ni watu waliokutana katika kudanga hivyo hajui namna yakumpata.

Hivyo basi nikajitoa kwa nia yakumpata mke na kutoa msaada. Tukakubaliana itakuwa ni siri yetu na nikimuowa mtoto atatambulika ni wangu kawaida.

Sasa basi tukakaa pamoja kama miezi miwili akaniambia nimtambulishe kwa wazazi nikafanya hivyo nikampeleka Kwa wazazi wakamwona na wakampenda.

Sasa baada yakurudi mjini akaanza dharau ananidharau mpaka aibu Kwa majirani Yani ananifokea kama mtoto.

Kibaya zaidi anafanya kosa nikimweleza anakuwa mkali huku akisema kwa sauti "unafanya hivi kwasababu sio damu yako" ameshatangaza Kwa majirani wote kuwa mimba sio yangu.

Mwisho ameamuwa kuongea maneno mengi ya aibu na dharau kisha akaondoka mwenyewe. Ikumbukwe kwamba ameshataka kuondoka zaidi ya mara tatu nikamzuia akaona kama namng'angania akazidisha jeuri na dharau.

Sasa alipoamuwa kuondoka alisema hatarudi nyuma kwanza kwangu palikuwa panamtesa analishwa vyakula ambavyo hataki kwani yeye anataka ale chipsi Kila siku. Akafikia hatua ya kuniambia mimi sio mwanaume.

Mimi nikamuacha akakusanya virago vyake akaondoka zake mwenyewe. Sasa cha kushangaza kesho yake tu anaanza kuomba kurudi nikamwambia mimi ndio sirudi nyuma nenda kakae huko huko Kwa walio wanaume.

Akaenda akapangisha jirani na hapa napoishi mimi kisha ananisumbua sana anasema anateseka anaomba msamaha lakini mimi simtaki tena lakini kwaupande mwingine mimi roho inaniuma mimba sio yangu lakini Kuna roho ya huruma ninayo juu yake.

Ukizingatia mimba imefika miezi 8 ananiambia anataka vifaa vya kujifungulia na analala njaa hana chakula na analala kwenye mkeka.

Naomba ushauri nifanyaje nashindwa nitawaelezaje nyumbani kuhusu hili suala.
Wanawake walivowengi hivi, unaenda kuchukua mwanamke mwenye mimba ya mtu mwingine unamuweka ndani kabisa.

Inasikitisha sana, anyway endelea kua na huruma akuletee ulee akue akamtafte baba ake, ndo akili itakukaa sawa.

Pale utakapokua unachapiwa waziwazi ndo utaelewa somo.
 
Mwezi watano katika mihangaiko yangu nikakutana na mdada mmoja nikamwelewa tukayajenga mwisho tukakubaliana kuishi pamoja.

Alinieleza changamoto zinazomkabili huku akiwa na mimba ya miezi 2 anasema baba wa mtoto wamepotezana ni watu waliokutana katika kudanga hivyo hajui namna ya kumpata.

Hivyo basi nikajitoa kwa nia ya kumpata mke na kutoa msaada. Tukakubaliana itakuwa ni siri yetu na nikimuoa mtoto atatambulika ni wangu kawaida.

Sasa basi tukakaa pamoja kama miezi miwili akaniambia nimtambulishe kwa wazazi nikafanya hivyo nikampeleka Kwa wazazi wakamwona na wakampenda.

Sasa baada yakurudi mjini akaanza dharau ananidharau mpaka aibu Kwa majirani Yani ananifokea kama mtoto.

Kibaya zaidi anafanya kosa nikimweleza anakuwa mkali huku akisema kwa sauti "unafanya hivi kwasababu sio damu yako" ameshatangaza Kwa majirani wote kuwa mimba sio yangu.

Mwisho ameamuwa kuongea maneno mengi ya aibu na dharau kisha akaondoka mwenyewe. Ikumbukwe kwamba ameshataka kuondoka zaidi ya mara tatu nikamzuia akaona kama namng'angania akazidisha jeuri na dharau.

Sasa alipoamuwa kuondoka alisema hatarudi nyuma kwanza kwangu palikuwa panamtesa analishwa vyakula ambavyo hataki kwani yeye anataka ale chipsi Kila siku. Akafikia hatua ya kuniambia mimi sio mwanaume.

Mimi nikamuacha akakusanya virago vyake akaondoka zake mwenyewe. Sasa cha kushangaza kesho yake tu anaanza kuomba kurudi nikamwambia mimi ndio sirudi nyuma nenda kakae huko huko Kwa walio wanaume.

Akaenda akapangisha jirani na hapa napoishi mimi kisha ananisumbua sana anasema anateseka anaomba msamaha lakini mimi simtaki tena lakini kwaupande mwingine mimi roho inaniuma mimba sio yangu lakini Kuna roho ya huruma ninayo juu yake.

Ukizingatia mimba imefika miezi 8 ananiambia anataka vifaa vya kujifungulia na analala njaa hana chakula na analala kwenye mkeka.

Naomba ushauri nifanyaje nashindwa nitawaelezaje nyumbani kuhusu hili suala.
Ndugu hana si arudi nyumbani kwao..
 
Ikiwa hii ni stori ya kweli basi nimekubali kweli kua uyaone!

  • Kosa la kwanza ulilolifanya ni kuishi kinyumba/Kutaka kuoa mwanamke mwenye mimba ambayo sio yako
  • Kosa la pili ni kufanya maamuzi hayo kwa mwanamke mdangaji. Yani kweli hauna kinyaa kiasi hicho kamanda? mwanamke hata aliyemtia mimba hamjui vizuri (wapi anapatikana na watu wake ni kina nani)

Wewe unapaswa ushukuru umeziona rangi halisi ndani ya muda mfupi kabla haujawekeza maisha yako kwake. Huyo mwanamke ni wa kumuepuka mbali kabisa.

Kama unaweza msaidie hivo vifaa anavyohitaji ama msaidie kumfikisha kwao and then na wewe potea kama alivyopotea aliemtia mimba, otherwise atakuganda na wewe mwenyewe unaonekana hujiwezi kwake. Au hata watu wake na wewe pia huwajui? ... mnakurupuka sana vijana!
 
Daa eti ananidharau na kunifokea kwa hiyo hapo wewe ndio umepanga kuoa au ndio unaolewa hivyo.
Hivi wanawake wa hivyo huwa mnawaokota wapi, mtu akikufanyia dharau piga chini endelea na maisha mengine mkuu
 
Mwezi watano katika mihangaiko yangu nikakutana na mdada mmoja nikamwelewa tukayajenga mwisho tukakubaliana kuishi pamoja.

Alinieleza changamoto zinazomkabili huku akiwa na mimba ya miezi 2 anasema baba wa mtoto wamepotezana ni watu waliokutana katika kudanga hivyo hajui namna ya kumpata.

Hivyo basi nikajitoa kwa nia ya kumpata mke na kutoa msaada. Tukakubaliana itakuwa ni siri yetu na nikimuoa mtoto atatambulika ni wangu kawaida.

Sasa basi tukakaa pamoja kama miezi miwili akaniambia nimtambulishe kwa wazazi nikafanya hivyo nikampeleka Kwa wazazi wakamwona na wakampenda.

Sasa baada yakurudi mjini akaanza dharau ananidharau mpaka aibu Kwa majirani Yani ananifokea kama mtoto.

Kibaya zaidi anafanya kosa nikimweleza anakuwa mkali huku akisema kwa sauti "unafanya hivi kwasababu sio damu yako" ameshatangaza Kwa majirani wote kuwa mimba sio yangu.

Mwisho ameamuwa kuongea maneno mengi ya aibu na dharau kisha akaondoka mwenyewe. Ikumbukwe kwamba ameshataka kuondoka zaidi ya mara tatu nikamzuia akaona kama namng'angania akazidisha jeuri na dharau.

Sasa alipoamuwa kuondoka alisema hatarudi nyuma kwanza kwangu palikuwa panamtesa analishwa vyakula ambavyo hataki kwani yeye anataka ale chipsi Kila siku. Akafikia hatua ya kuniambia mimi sio mwanaume.

Mimi nikamuacha akakusanya virago vyake akaondoka zake mwenyewe. Sasa cha kushangaza kesho yake tu anaanza kuomba kurudi nikamwambia mimi ndio sirudi nyuma nenda kakae huko huko Kwa walio wanaume.

Akaenda akapangisha jirani na hapa napoishi mimi kisha ananisumbua sana anasema anateseka anaomba msamaha lakini mimi simtaki tena lakini kwaupande mwingine mimi roho inaniuma mimba sio yangu lakini Kuna roho ya huruma ninayo juu yake.

Ukizingatia mimba imefika miezi 8 ananiambia anataka vifaa vya kujifungulia na analala njaa hana chakula na analala kwenye mkeka.

Naomba ushauri nifanyaje nashindwa nitawaelezaje nyumbani kuhusu hili suala.
We una umri gani ndugu? Tuazie hapo kwanza.
 
Kumbe wewe ni Kiazi Mbatata....!

Nimeishia pale unaposema Mkakubaliana ....!
 
Mapenzi na huruma havikai pamoja mkuu, achana na huyo mshenzi wa tabia. Shukuru sana hilo baya limekuepuka, kama una huruma sana msaidie gharama ya vifaa vya kujifungulia ila sio kumrudisha kwako..
Unachukua mwanamke mwenye mimba ya mtu mwingine yanini? Ng'ombe tu ndio unaweza mchukua akiwa na mimba ila sio binadamu. Nna imani umejifunza na usirudie kosa.
Case closed
 
Mleta mada ishi hapa.
 
Back
Top Bottom