Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Sasa wewe ambae huwezi hata kuongoza familia yako ya watu hawazidi 10 tena katika Ulimwengu wa tatu unawezaje kumdharau Zelensiky [emoji3]Anauwa raisi wake,anaharibu nchi yake,zaidiya Waukaraine milioni tano ni wakimbizi...
Alikuwa kuwa hawezi kupigana na taifa kubwa kama Urusi,alitegema NATO wataingilia kati alikua hajui NATO hawana uwezo wa kupigana na Urusi
Mmoja katika raisi mjinga kutokea Duniani