Nimejifunza kitu kutoka kwa Zelensky

Donetsk na Luhansk ni sehemu ambazo watu wake wanazungumza Kirusi,hao watu walitaka kujitenga ili kuepuka manyanyaso ya Waukraine..

Zelensiky ni pimbi hana diplomasia,sio mwanasiasa ni mchekeshaji wa vipindi vya TV..

Jeuri yake ya kutishia Nyau Putin ndio imemfikisha hapo,sasa anapewa silaha na UK pamoja na US

hii itafanya vita vichukue muda meingi,hii itafanya Ukraine izidi kuteseka

Zelensiky ni pimbi
 
Sure
 
Putin anashindwa kupigana na pimbi sasa tumuite pumbu sijui. Zelenskiy ni dhaifu alafu Putin hamuwezi sasa hapo mna hoja gani
 
Acha kufananisha mambo haya na upande wa Mungu. Bado hayajajifunua waziwazi kusema yupi yupo upande wa Mungu na yupi kwa shetani.
 
Mkuu; Kwa nini Putin amshinikize Zelensky kuwa Neutral? Alikuwa anaogopa nini? Kuwa Ujirani na NATO?? Haikubaliki nchi moja kuilazimisha na kuipangia nchi nyingine nini cha kufanya kama Taifa huru. Huo ndio Ubeberu halisi katika ubora wake. Kama Mrusi ni Mwamba hapakuwa na sababu ya kuogopa Ukraine kujiunga na NATO. Leo atasema ww Ukraine kuwa Neutral na Ukakubali, kesho atasema wewe Ukraine rudisha mikoa yangu Donbass, Donensky, Luhanky, Kharkiv, Crimea n.k, siku nyingine atasema lipeni kodi kwangu etc. Nani atakayekubaliana na huo ujinga? Kama ni mbwai na iwe mbwai.
 
Ona sasa, Putin hadi ameamsha makali ya saratani na nani ajuaye kwamba akitoka kwenye upasuaji atapona.
 
Tempo: 3/8 "Mpigieni Mungu; kelele za shangwe. Nchi yote imbeni utukufu wake ; Tukuzeni sifa zake Mu-ngu Mkuu. Mwambieni Mu-ngu, matendo yako yanatisha kama nini......." by Felician Nyundo)
Tukuzeni sifa zake Mungubmkuuuuu!!!!
 
 
Saw ila tuna uliza kuhusu ule masafala.afu hata south Korea ilachwa majibu now ipo wap?
 
Ila Zelensky kaishushia sana hadhi na sifa taifa la Russia nina amini leo hii hakuna tena jirani anayemuofia Russia kama ilivyokuwa mwanzo kabla ya hii vita
Wengi waliiona Urusi kama dubwana fulani kubwa hivii
 
Sasa putin na NATO nani mwanaume.

Nato ni kikundi cha malaya walijiunga pamoja kwa uoga dhidi ya mwanamme Russia
Marekani pekee tu ana nguvu kuliko huyo mrusi Na nato wana mtegemea saana marekani
 
Mkuu kiukweli ata Marekani alikuwa hajui uwezo wa Russia naamini na yeye alijuwa Russia ni zaidi ya hata yeye Mmarekani lakini ujanja alioufanya Marekani ni kuhakikisha Russia anaingia kwenye vita na Ukraine na baada ya ile vita kuendelea hivi tunavyoiyona tayari Marekani amepata majibu 100% kujua uwezo wa Russia kikamilifu

Utakumbuka wakati vita inaanza marekani walimtumia ujumbe Zelensky rais wa Ukraine kwamba waende wakamuokoe lakini Zelensky alikataa nadhan kauli ile Marekani wanaijutia saivi baada ya kugundua madhaifu ya puttin

Hata Putini alivyozionya nchi za marekani na ulaya kuisadia ukraine pia kulikuwa na hofu na marekani waliganda kidogo kujibu lakini hatimae wakapata jibu Russia hana mpango wowote na ndio mana yule Waziri wa ulinzi wa Marekani akajibu kwa mbwembwe zote kwamba "Tutaisaidia ukraine duniani na mbinguni mpaka pale mipaka yao itakapokuwa salama"

Lakini vile vile Sweden na Finland wakati operation inaanza pia nao walikuwa na hofu na walifika kusema wao hawatajiunga na NATO kwa kuhofia machafuko na wananchi wao na walionywa na putin kama wakijiunga na NATO basi yatawakuta kama ya Ukraine lakini angalia baada ya kufanyika tathmini ya vita ya Ukraine na Russia muda mfupi tu Mrusi aliovamia wameona kumbe Russia hatishi wala hana ubavu wowote hizi nchi sasa juzi wamebadilisha msimamo na wakasema wanaitaka NATO kama maji ya kunywa na ikifika mwezi June mwaka huu makubaliano yataanza rasmi kujiunga na NATO.

Na Marekani wanawachochea kweli kweli wamewambia Sweden na Finland kwamba muda wa kujiunga na NATO ni sasa hakuna muda mwengine kwamba huyu jamaa tumeshamdhoofisha na akijaribu kukuruka basi ni kama kuangusha popo tu.

Ujerumani wamemjibu Putin kwamba wewe unatuonya tusiisaidie Ukraine silaha basi fahamu kwamba sio tu kwamba tunawapa silaha lakini fahamu kwamba tuna majeshi yetu ndani ya Ukraine yanatoa mafunzo ya kijeshi ndani ya Ukraine.

Biden juzi kamwambia Putin kwamba sababu ya wewe kushindwa Kyiv na kufurushwa ukarudi zako Donbas ni sisi Marekani ndio tuliokupa adabu ile.

Hadi naandika majibu haya tayari Putin ameyapata na hajafanya chochote wala hawezi, Congress wamepitisha azimio rasmi la kuwapa silaha Ukraine na mitambo ya kuangusha ndege rasmi., mbali fedha nyingi sana ambazo Spika wa bunge la Marekani alizowaahidi Ukraine juzi alipotembelea
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ona sasa, Putin hadi ameamsha makali ya saratani na nani ajuaye kwamba akitoka kwenye upasuaji atapona.
hii timing ya saratani inashangaza. au alikuwa nayo akifanya siri? basi huyo Comedian ameshinda maana mpaka saratani zimeamka 😎
 
Baada ya week mbili nitakutafuta unipe tena update
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…