Bado hujawa serious wewe [emoji3]Putin katishia Nuke pale vita vilipoanza,Katishia Sweden na Finland kama na wao wataleta chochoko za kujiunga na NATO watakiona cha moto..
Kidume hakina masihara,Juzi kasema Urusi ina silaha kama ikizitumia dunia itashangaa..
NATO waneufyata
ilikuwa km 64 , jamaa kapunguzaMkuu umeongeza pilipili km 50 siyo ndogo mkuu
hahahaaaaabila NATO Kyiv ingekuwa mikononi mwa jeshi la Putin ila Putin nae siku nyingine ajipange vizuri kabla ya kuanzisha vita maana anatukatisha sana tamaa team Kiba
Watatumika na US na wataachwa kwenye mateso karne nzima. Waendelee kukomaa na mapigano mpaka nchi yote igeuke kifusi.Kuna Rais wa zamani wa Ukraine naye huwa namuona akihojiwa yupo front kapiga kombati na ana silaha anapambana.
Hawa jamaa wana spirit ya ajabu kuipigania nchi yao.
Ukraine inazidi kudidimizwa kusikojulikana. US wanaendelea kumwaga silaha kwa malengo maalum ya kuidhoofisha Urusi na wala hana interest na kuisaidia Ukraine.Ila Zelensky kaishushia sana hadhi na sifa taifa la Russia nina amini leo hii hakuna tena jirani anayemuofia Russia kama ilivyokuwa mwanzo kabla ya hii vita