Nimejifunza kitu kutoka kwa Zelensky

Nimejifunza kitu kutoka kwa Zelensky

Putin katishia Nuke pale vita vilipoanza,Katishia Sweden na Finland kama na wao wataleta chochoko za kujiunga na NATO watakiona cha moto..

Kidume hakina masihara,Juzi kasema Urusi ina silaha kama ikizitumia dunia itashangaa..


NATO waneufyata
Bado hujawa serious wewe [emoji3]
 
Tunamtaka Zelensky agombee urais wa Tanzania 2025
 
Ni kweli huyu jamaa Ni jasiri sijapata kuona, kwa maelfu ya jeshi like lilivyotisha na mavifaa eneo la mpakani nikajua siku mbili tu ukraine anageuzwa juu chini,ukizingatia ukubwa wa jeshi la urusi lenye kuogopwa Duniani,huyu jamaa jasiri sana aisee,anastahili tuzo ya ushujaa hata Kama wakishindwa Vita.
 
How to make a prosperous country into a failed state.
 
Kuna Rais wa zamani wa Ukraine naye huwa namuona akihojiwa yupo front kapiga kombati na ana silaha anapambana.

Hawa jamaa wana spirit ya ajabu kuipigania nchi yao.
Watatumika na US na wataachwa kwenye mateso karne nzima. Waendelee kukomaa na mapigano mpaka nchi yote igeuke kifusi.
 
Ila Zelensky kaishushia sana hadhi na sifa taifa la Russia nina amini leo hii hakuna tena jirani anayemuofia Russia kama ilivyokuwa mwanzo kabla ya hii vita
Ukraine inazidi kudidimizwa kusikojulikana. US wanaendelea kumwaga silaha kwa malengo maalum ya kuidhoofisha Urusi na wala hana interest na kuisaidia Ukraine.

US angekuwa na interest ya kuwasaidia Ukraine kusingekuwa na hii vita. US angepeleka mitambo mikali ya kujilinda hata kabla Putin hajaingia.
 
Back
Top Bottom