Habari wakuu,
Katika Maisha yangu yote hakuna chakula ambacho Sili Ila kuanzia mwezi huu nimeona maajabu
Nimejikuta siwezi kula chochote chenye asili ya Roho naona kama nadhurumu nafsi ya viumbe yaani nakula kiumbe ambe ameuawa naona kinyaaa Sana kula nyama ya Kuku naona kama namuonea Kuku amekufa nimle Hali ya kuwa ana familia Yale yani nachukia kula chochote chenye Roho..
Wakuu hili ni tatizo AU yani nakula nafaka mboga nk imekaaje hii