Nimejikuta nachukia kula chakula chochote chenye asili ya Roho, naona kama nafanya ukatili

Nimejikuta nachukia kula chakula chochote chenye asili ya Roho, naona kama nafanya ukatili

Kila kitu asili yake ni Roho.

Maji ni Roho.

Miti ni Roho,

Udongo ni Roho,

Kila kitu ni Roho, vina macho ,masikio nk nk.

Kula nyama, usinywe tu Damu,

Damu usiguse, ni hatari.
 
Kuna tafiti nyingi zinaonyesha nyama imekuwa muhimu sana katika evolution katika kuimarika kwa ubongo na afya ya ujumla ya binadamu kwa maelfu ya miaka.
Huko porini ambapo binadamu ameishi kwa maelfu ya miaka angepata wapi protein ya kutosha zaidi ya kula nyama??
 
Back
Top Bottom