acha tutakukula wewe...🤣Habari wakuu,
Katika Maisha yangu yote hakuna chakula ambacho Sili Ila kuanzia mwezi huu nimeona maajabu
Nimejikuta siwezi kula chochote chenye asili ya Roho naona kama nadhurumu nafsi ya viumbe yaani nakula kiumbe ambe ameuawa naona kinyaaa Sana kula nyama ya Kuku naona kama namuonea Kuku amekufa nimle Hali ya kuwa ana familia Yale yani nachukia kula chochote chenye Roho..
Wakuu hili ni tatizo AU yani nakula nafaka mboga nk imekaaje hii
Hongera, umekuwa mtu mzima Sasa. Karibu katika dini ya marastafari.Habari wakuu,
Katika Maisha yangu yote hakuna chakula ambacho Sili Ila kuanzia mwezi huu nimeona maajabu
Nimejikuta siwezi kula chochote chenye asili ya Roho naona kama nadhurumu nafsi ya viumbe yaani nakula kiumbe ambe ameuawa naona kinyaaa Sana kula nyama ya Kuku naona kama namuonea Kuku amekufa nimle Hali ya kuwa ana familia Yale yani nachukia kula chochote chenye Roho..
Wakuu hili ni tatizo AU yani nakula nafaka mboga nk imekaaje hii
Vipi kitimoto umejaribu?Habari wakuu,

Umekaribia kufikaWakuu hili ni tatizo AU yani nakula nafaka mboga nk imekaaje hii
Aimeen!viumbe hai vyote(wanyama na mimea) vina asili ya roho.
ila tofauti ni DAMU iliyopo kwa wanyama .Ila roho za viumbe vyote vitakatifu mimea na wanyama zinamtukuza Mungu(muumbaji).
Hawakoso sababu utaambiwa sababu hapa subiriMimea ni viumbe hai pia, kwa hiyo nayo ina roho