Nimejikuta nachukia kula chakula chochote chenye asili ya Roho, naona kama nafanya ukatili

Uko sahihi. fuatisha nafsi yako inavyokuambia. hata hivyo Mungu hakutuumba tule nyama. Tulianza kula nyama kwa tamaa zetu na dhambi zetu. Mungu alituumba tule matunda na mbogamboga ........ waroho wa nyama watakuja nishambulia niko tayari..... Wewe kula aina zooote za mboga mboga na utaenjoy maisha na kuwa na afya njema sana. Kwanza hiyo mikuku kifafa ndio inatuua siku hizi na makansa ya ajabu, minyama fekiiiiii
 
Basi inabidi ususe tu kula kwani kila chakula ulacho kina roho ndani yake hata mimea pia ina roho kama ulikuwa hujuwi. Jiue tu kijana.
 
Hata usipomla amesha kufa
 
Ubudha unafafanua vyema sana juu ya faida na hasara ya kula nyama na umeenda mbali zaidi na kuainisha vigezo ambavyo vinamiwezesha mtu kula nyama na aina ya nyama ambayo inaweza kulowa na mtu.
 
Ila vitoto vya 2000 unagonga
 
Ila vitoto vya 2000 unagonga
Vimewekewa KEI ya kunyanduliwa
So ni haki na wajibu

Ila viumbe hai kuwala, hapo haijakaa sawa

Kama God kaumba viumbe tuwale, then why kawapa hisia za maumivu ya kifo?

Ahaa nilisahau
Mungu ameumba viumbe Tulane
 
Hata mimea nayo ni viumbe hai.

Je unataka kushindana na Mungu maana yeye ndiye mjuzi na yeye ndiye aliyetoa hiyo ruhusa na kuharamisha baadhi ya wanyama
 
Vimewekewa KEI ya kunyanduliwa
So ni haki na wajibu

Ila viumbe hai kuwala, hapo haijakaa sawa

Kama God kaumba viumbe tuwale, then why kawapa hisia za maumivu ya kifo?

Ahaa nilisahau
Mungu ameumba viumbe Tulane
Usiwe unakula na mboga za majani pia
 
Afya ya akili imepotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…