Nimejikuta nafikiria na kuwakumbuka hawa watu...

binamu hebu msaidie huyu anayejiita nicas naona anataka kuharibu hali ya hewa
mjengoni hapa mambo yaliyopita ya ngoswe
yeye anayakumbushia sijui amewekea ndunguli
kwenye mikono yake wanassiem


Achana nae huyo mtu anaitwa Nicas Mtei unajua akishavuta cha Arusha akili zake zinahama na anakuwa haelewi mambo yanaendaje na wakishirikiana na Kaizer ni balaa huwa mambo yao yanakuwa valuvalu
 
Last edited by a moderator:
nahisi wamedata binamu hawa, niruhusu niwatoe katika bunge la katiba leo
maana nimewaweka kisirisiri bado wanachachafya utadhani wamepaliwa na mafua ya dengue?
watazikosa 20ml nilizotenga kwa ajili ya mabest wangu ili mwakani wawanie kiti changu ujue NIRUHUSU BINAMU SASA
Achana nae huyo mtu anaitwa Nicas Mtei unajua akishavuta cha Arusha akili zake zinahama na anakuwa haelewi mambo yanaendaje na wakishirikiana na Kaizer ni balaa huwa mambo yao yanakuwa valuvalu
 


Binamu ladyfurahia waache kidogo maana naona akili zao zitarudi tuu hawa wala hawatakuwa wabishi tena
Wasamehe maana hawajui watendalo
cc Kaizer, Nicas Mtei
 
Last edited by a moderator:


Binamu nimekumis sana

Sijui kuna kidudumtu gani watu wamepotelea machakani!

watu8 sio vizuri shemkwe rudipo basiiii
The secretary Bishanga Arushaone Nivea Lady doctor shansarie na mumeo , mmm ni wengi aisee
Afu Erickb52 anakupa hi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…