ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Hii fomu ya saccos kuombea mkopo?
Kaizer mbona maneno yako yanazidi kuwa laini kwa miss chagga kuna nini kinaendelea hapo
cc Nicas Mtei
Mbona unawivu wewe unashida gani?
kumbe ulijua kuwa bila mkopo usingeweza lisha jana watoto wako pilau
Wivu sina my dear miss chagga ila roho inaniuma kumuona Kaizer anazidi kubembeleza hapa
cc Nicas Mtei
Hawa siku hizi wanaonekana kwa nadra sana ndani ya hili jukwaa na tumemiss changamoto zao na thread zao nzuri na michango yao kuliboresha jukwaa letu mko wapi aise Lizzy, Lily Flower, Preta, Husninyo, Blaki Womani, gfsonwin, Smile, sweetlady, snowhite, Zion Daughter, King'asti, Chauro, Chocs, mwallu, Angel Nylon, The secretary, Asprin, Bishanga wa bashaija, Erickb52, Baba V mvunja ndoa za watu, Arushaone king mswati wetu, Vin Diesel mzee wa penda penda, Fixed Point, Mkirua, The Finest mchungaji aliyekosa kanisa, AshaDii my sis miss you sana na wewe Dena Amsi siku hizi nyumbani hukai wewe kiguu na njia kila siku ndo maana mchepuko miss chagga anapata nafasi ya kutamba Kongosho miss you sana
Kaizer acha fujo basiWivu sina my dear miss chagga ila roho inaniuma kumuona Kaizer anazidi kubembeleza hapa
cc Nicas Mtei
Kaizer acha fujo uunasida gani? mbona ujiamini hata kidogo?miss chagga kuja kipande hii huyu Kaizer anataka kuleta za kuleta hapa
Nipo binamu.Nalea mwendhio lakini huwa nachungulia tu humu vituko vya kina dotcom na fesibuku
Kaizer acha fujo basi
Kaizer acha fujo uunasida gani? mbona ujiamini hata kidogo?
Nipo binamu.Nalea mwendhio lakini huwa nachungulia tu humu vituko vya kina dotcom na fesibuku
Hongera kwa kulea shemeji
miss chagga kama tulivoongea basi ngoja ntulie zanguAfadhali binamu umeonekana bana
Naamini unaendelea na malezi vyema
Usipotee hivyo binamu yangu Zion Daughter
Ameshaacha huyo kijana sijui alipata ndyofu mchana huu
Msamehe bure hana makosa ndyofu ndio zinaongea
cc Kaizer
Yuko wapi mkuu nipo kwen sredi hii sijaenda pengine?
Hahaa mi huko sipo.shemeji...mini wa hapa hapa