Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Me nakuamini sana kwann ulie Tena kisa movie sio msiba au issue serious 😂Wee ndo unazingua..
Mnafanya uwanaume uwe mgumu sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nakuamini sana kwann ulie Tena kisa movie sio msiba au issue serious 😂Wee ndo unazingua..
Mnafanya uwanaume uwe mgumu sana mkuu
Au matumizi mabaya ya hisia 🤣🤣 kijana ana msongoNimeichek hii move hebu niambie kijana kilichokuliza ni nin haswa??
DaaahMwambie asijikize wimbo wa Geaz mabovu 'mtoto wa kiume acheni nijitume...'
Kwani unajua mechanism ya kulia mkuu..Me nakuamini sana kwann ulie Tena kisa movie sio msiba au issue serious 😂
Hapo vipiDaaah
Nina msongo wa which mkuu wakati napata mahitaji yote muhimuAu matumizi mabaya ya hisia 🤣🤣 kijana ana msongo
Mkuu bado hayajakupata wewwUna machozi ya kuchezea aisee.Ila polee.
Wee naweee una kichwa majiHapo vipi
Po sahihi lkn sasa sio kulia kisa muviKwani unajua mechanism ya kulia mkuu..
Labda nikupe faida za kulia..
Kulia kuna toa homon ambayo hiyo homon huwa inatoka na vinyongUpo
HahahaWee naweee una kichwa maji
Mkuu mi napendelewa sana ujueIla hivi vitoto huwa vya moto sana
Ila hivi visichana huwa vinawamudu sana, unapewa makatazo na unatii kwa adabu zote. Safi!
Mimi nilishuhudia jamaa anarudisha gari na fremu kwa sababu kasichana hakataki mali za mshangazi, nilivyoleta humu watu wakaniambia ni chai, haiwezekani. ila haya mambo yapo sana tu!
SeriouslyHahaha
Ndo nakwambia unapolia kuna vtu unapunguzaUoo
Po sahihi lkn sasa sio kulia kisa muvi
Ndiyo maana yakeSeriously
Ok sawaNdo nakwambia unapolia kuna vtu unapunguza
We jamaa nikwambie kituNdiyo maana yake
NaamWe jamaa nikwambie kitu
🤣🤣🤣🤣🤣Maziwa mtindi ndo tumewaachia ahaahhahah
😂😂😂 Hiyo title ya movie wanazungumzia PAJAMA za kulalia auMambo yako ni Mkanganyiko kukanganya
🤣🤣