Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza

Jiandae kisaikolojia kwa tukio linaloenda kukukuta endapo utaendelea na huyo mke wa mtu. Kuingiliwa kinyume na maumbile ni mojawapo ya mambo unayoweza kufanyiwa endapo utagundulika na huyo tajiri.
 
Vitu alivyosema kuhusu mume wake ni uongo mtupu. Cheaters wana tabia hizo.
 
Vijana wa siku hizi bure kama.. eti
 
Kuna Demu nilikutana nae kazaa na mshikaji mtoto m'moja. Analalamika jamaa ana mnyanyasa na hana upendo wa kweli. Mimi nikitazama naona bonge la pisi. Nikasema nimsaidie.

Nilimpa sapoti ya kumuunganisha na rafiki yangu wa kike anadeal na biashara akaanza mpa connection za kibiashara mambo yao wanawake sijui kuuza nguo za watoto, na biashara zao zinginezo.

Huku na kule demu akaanza kukaa sawa akahamia sehemu ya pekee yake akaanza kukaa na mwenzake fulani hivi wanaishi pamoja.

Picha linaanza akaanza matukio. Ingawa mimi sikuwa sana deep nae maana nilishamuona kama damaged goods. Nikagundua anatabia ya ku flirt sana na vijamaa alivyosoma navyo sekondari na wanaume in general. Nikamuuliza hawa watu wanapataje mawasiliano yako na mnakuwaje na mazoea ya kuchat vitu nje ya biashara? Akanijibu yeye hapendi ushkaji na wanawake sababu wambea mno na wanamaneno ndio maana rafiki zake wengi wa kiume. Akanambia na sababu mojawapo alikuwa anagombana na jamaa yake ni hilo la kuchat sana na wanaume.

Nikaona huyu siajabu akiwa na mwanaume wake alikuwa anapigwa mashine sana nje ila anajifanya mtakatifu hana makosa. Mwanaume hawezi weka ndani mwanamke kisha aanze kumchukia labda kama huyo mwanaume ana matatizo ya kiakili.
 
🀣🀣🀣🀣 Waliletwa duniani ili watafunwe tu kama karanga unagonga mpaka unasikia kama moyo unahama 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
hujajibu swali πŸ˜‚
 
Mwanamke akianza kukuambia mapungufu ya mumewe na kuanza kukufanya umuonee huruma, Kimbia ndugu yangu.
 
Hii movie nimeiona kwenye azam tv,channel namba 103,cha ajabu haijapata tuzo
 
Umeandika ukweli mtupu Mkuu, ngoja niwasindikize na huu wimbo Mabinti ambao hawajaolewa na wanaitamani ndoa. Kuna ndoa na harusi. Dada zangu achaneni na harusi tafuteni ndoa na muwe na Subira Mwenyezi Mungu ndie mjuzi maana alipokuumba alikupa na ubavu wa Mwanamme. Subira ni muhimu


View: https://youtu.be/aXE4gLCihnM?si=cRgX2sAcW5pEqjIN
 

Bro Wewe ni mzinzi uliyechangamka huna lolote. Ushauri wa bure:Acha kabisa kwa sababu unakitafuta kifo chako na cha huyo dada wa watu
 
Nimegundua unampenda sbb hsombi ombi Hela ovyo km ulivyosema🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…