Nimejipa adhabu ya kukaa siku 1,000 bila kushiriki ngono kwa njia yeyote ile

Nimejipa adhabu ya kukaa siku 1,000 bila kushiriki ngono kwa njia yeyote ile

PSL god

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
8,435
Reaction score
6,476
Za jioni wandugu

Wanasema kisichokuua kinakufanya uwe ngangari

Mimi mwana JF mwenzenu leo hii nimeamua kujipa adhabu kali ambayo inanitisha na kunifurahisha kwa pamoja mpaka sielewi kabisa

In short nimechoka hii tabia ya uzinzi uzinzi ninaofanya yaani uchafu mwingi nimekuwa naufanya toka October last year hadi nimeanza kuwa addicted kidogo kama mlevi of course wote ni watu wazima hapa najua mmenielewa vyema basi leo hii wana Jf ninekuja kwenu kutangaza kuwa kwa siku 1000 toka leo simwagi shahawa zangu tena kwa njia yeyote iwe sex au punyere

Ntarudi kufukua huu uzi 24/10/2027 mark my words

Usiku mwemeni nyote!!

Eeh Mwenyezi Mungu nitangulie 🙏

Update: leo ni siku moja tu toka nitie kiapo ila nishazini tiyari daaah safari ni chungu na ndefu sana ila nitaweza tu,r😮‍💨

Kwaiyo tumeongeza siku ni hadi 25/10/2027 never give up
 
Siku 1,000 ni sawa na miaka 2 na miezi 8 (takriban), kwa kuwa mwaka una siku 365.

Hesabu:
1,000 ÷ 365 ≈ 2.74 miaka
0.74 x miezi 12 ≈ miezi 8.88

Kwa hivyo, siku 1,000 ni sawa na miaka 2 na miezi 8 hivi.Kwa msaada wa Akili mnemba.
 
Kama atakua anakula vzr na kushiba sioni akitoboa ata miezi 4 itakua ngumu kwake 😄
Itafika kipindi ndio umelala unaamka unajikuta umejipiga mabao tu mwenyewe.

Ile ni process ya kibaiolojia kama binadamu mzima hauna matatizo ya kiafya, unakula unashiba, lazima kuwe na mechanism ya kumwaga shahawa tu kwa namna yoyote.
 
Back
Top Bottom