johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mungu ayasikie maombi yako!Ukiwa juu ya siasa za vyama utaona wazi namna wananchi watakavyoihitaji Chadema kuliko makamanda wa Ufipa wanavyowahitaji.
Kwa kuwa chama kikuu cha upinzani kinapita katika wakati mgumu na mimi naamini kwamba Siasa siyo uadui, basi kwa hiyari yangu mimi Yohana nimejipa mzigo wa kuiombea Chadema iweze kuvuka salama.
Maendeleo hayana vyama!
Amina!Mungu ayasikie maombi yako!
Nccr mageuzi hakuna mpinzani pale!Tunaposema Chadema inakufa hatusemi upinzani unakufa
Wapinzani Wazalendo ni Nccr mageuzi sio hao wanaotumika na Mabeberu
Lazima tuwafute kwa njia yeyote
Bwashee dunia inaendeshwa kisayansi si kwa kutumia nguvu.Wacha upinzani ufe siku jeshi likimchoka mtasikia ya Omary Wa Sudan! Huwezi kuua upinzani ukatawala kwa mkono wa chuma ukabaki salama ni swala la muda tu.
Wewe unadhani mpinzani lazima awe mtu wa kupinga tu hata kama kuna mazuri yanafanyika.Nccr mageuzi hakuna mpinzani pale!
Tunaposema Chadema inakufa hatusemi upinzani unakufa
Wapinzani Wazalendo ni Nccr mageuzi sio hao wanaotumika na Mabeberu
Lazima tuwafute kwa njia yeyote
Ukiwa juu ya siasa za vyama utaona wazi namna wananchi watakavyoihitaji Chadema kuliko makamanda wa Ufipa wanavyowahitaji.
Kwa kuwa chama kikuu cha upinzani kinapita katika wakati mgumu na mimi naamini kwamba Siasa siyo uadui, basi kwa hiyari yangu mimi Yohana nimejipa mzigo wa kuiombea Chadema iweze kuvuka salama.
Maendeleo hayana vyama!
Zamani na mimi niliona ni chama cha maana ila kwa sasa naomba kife tu hata kesho, hicho siyo chama ni kenge la wahuni na wala pesa tu kwa mgongo wa siasa.Ukiwa juu ya siasa za vyama utaona wazi namna wananchi watakavyoihitaji Chadema kuliko makamanda wa Ufipa wanavyowahitaji.
Kwa kuwa chama kikuu cha upinzani kinapita katika wakati mgumu na mimi naamini kwamba Siasa siyo uadui, basi kwa hiyari yangu mimi Yohana nimejipa mzigo wa kuiombea Chadema iweze kuvuka salama.
Maendeleo hayana vyama!
Nccr mageuzi hakuna mpinzani pale!
Uwezo wa ccm kushindana na cdm kwa ushawishi wa kisiasa haupo. Njia pekee ni kutumia vyombo vya dola ili kupambana na cdm. Kama ccm yenyewe haina mvuto itawezaje kuipa mvuto NCCR? Ccm sasa hivi inabidi utumie shuruti tu kukubalika, na ili ccm iendelee kukaa kwa amani, ni lazima ihakikishe inaiua cdm, kinyume na hapo ccm itageuka KANU ya Kenya. Ikafanikiwa kuia cdm, hivyo vyama vyake mapandikizi ndio watafuata watakacho ccm.
Ni kweli ccm itafanikiwa kuia cdm kwa matumizi mabaya ya madaraka ila sio kisiasa, ili ibaki ikibiruza wananchi. Je itaweza kuwalazimisha watanzania kuipenda? Itakachoweza ni kuwafanya wanaccm waipende, ila sio wananchi. Sana kwa wananchi itaishia kuwashurutisha, itawashurutisha kwa muda gani, muda ndio utaamua.
Ccm ya Sasa sio ya jana Mkuu, endeleeni kukariri
Ukweli mtaupata October
Ccm ya sasa kweli sio ya jana, maana hivi sasa haifanyi siasa, bali inatumia vyombo vya dola na kundi la watu wasiojulikana kulazimisha kutawala wananchi bila ridhaa ya box la kura. Magufuli hawezi ushindani wa box la kura, hivyo hata hiyo October unayotishia nayo watu ataaishia kunajisi uchaguzi kama Kawaida yake. Na akilogwa akakubali uchaguzi huru, atapata kiharusi.
Mleta mada atakuwa anapoteza muda kwanza wenyewe hawakubali kama wanahari ngumu ya kuhitaji maombi yeye kajuaje. CDM wanasema hata leo uchaguzi ukiwa huru kama wa 2015 wanachukua nchi kwani kwa sasa wamekubalika sana kwa sera zao sasa iweje wewe uturushe katika maombi, jamaavipi