Nimejipa jukumu la kuiombea CHADEMA katika kipindi hiki kigumu wanachopitia, bila upinzani imara CCM itayumba

Upinzani unaotakiwa ni ule wa kutoa mawazo mbadala ili kujenga nchi.Upinzani huu uliopo ukiongozwa na chadema kazi zao ni kutukana viongozi,kupinga kila kitu kinachofanywa na Serikali katika kuwaletea maendeleo Watanzania,kejeli kibao,kuliombea taifa mabaya tu wakati wote, kuichongea nchi kwa wazungu na mbaya zaidi kuwalamba miguu wazungu,kutumia wahuni kama kigogo,mange kimambi kutukana viongozi na kuzusha uongouongo dhidi ya Serikali na viongozi nk. Wajue kuwa Watanzania siyo matahira,wanaona kabisa jinsi Rais John P.Magufuli anavyoibadilisha nchi kimaendeleo,wanaiona nia ya kweli ya mh. Rais ya kuhakikisha kwamba kila Mtanzania ananufaika na rasilimali za nchi.Tanzania ya leo huwezi kumuonea mtu kisa una pesa au madaraka utashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.Haya yote wapinzani hawayaoni na hiki ndicho kinachosababisha wawe katika wakati mgumu,atawasupport nani? Hata chizi sidhani kama anaweza fanya huo ujinga.Hawa siyo wa kuonea huruma,acha wavune walichopanda na hii ni adhabu kutoka kwa Wananchi.
 
Kwa mujibu wa nani?

Back
Top Bottom