Elewa tu Nccr mageuzi hakuna mpinzani katiba yao ya asili walimuuzia Mzee Mtei.....wao wakabaki kama wanaharakati.
Ndio maana Nyerere alimshangaa mwanawe Makongoro alipojiunga nao.
Na hata mpinzani wa ukweli mzee Lyatonga Mrema aliwashtukia na kwenda zake TLP!
Na hata mpinzani wa ukweli mzee Lyatonga Mrema aliwashtukia na kwenda zake TLP!
Bwashee hapo Chadema kuna nguvu yangu nilichangia chama kwa miaka miwili mfululizo!Mnafique
Jr[emoji769]
Bwashee sitafaidika ndio maana nakiombea!
Chadema ikifa huo ubunge wa Kyela utauza nyago kupitia chama gani bwashee?!hana utu wowote
Nimesema walimuuzia Mzee Mtei......hizi siasa zina machimbuko yake mkuu hazikuibuka tu kama uyoga!Mkuu Mbona hunijibu swali
Wewe mpinzani Au Wapinzani unaelewaje?
Halafu unachoeleza ni conspiracy tu hakina uhalisia
Kwamba Nccr mageuzi waliwauzia Chadema katiba [emoji2]
Wewe jamaa umenifurahisha sana
Usilalamike kuwa Ccm ilitumia mabavu. Mlisusa wenyewe.Yes, maana hatuko tayari kubariki uhuni. Na hatuna wasi wasi eti kuwa chama kitakufa kwa kukosa kiti hata kimoja kwa uhayawani. Iwapo tutaingia kwenye uchaguzi kisha tukose kura hapo tutajua kweli chama kimekataliwa na watu. Hii tunahesabia ni kama nchi iko chini ya serikali iliyopinduliwa.
Augustino Lyatonga Mrema huwa namkubali sana tokea akiwa Naibu waziri mkuu!Mrema mpinzani wa kweli [emoji2]
Usilalamike kuwa Ccm ilitumia mabavu. Mlisusa wenyewe.
KimaTunaposema Chadema inakufa hatusemi upinzani unakufa
Wapinzani Wazalendo ni Nccr mageuzi sio hao wanaotumika na Mabeberu
Lazima tuwafute kwa njia yeyote
Tenda wema uende zako Jo... Niliichangia NCCR-MAGEUZI, Nilimchangia Mrema. Nilimchangia Lamwai... Yalikuwa ni mahitaji ya nyakati SIJUTI..Bwashee hapo Chadema kuna nguvu yangu nilichangia chama kwa miaka miwili mfululizo!
Yes Lowassa chini ya mwamvuli wa ukawa wangepitisha ile katiba mpya chini ya rasimu ya Warioba. Huo ungekua mwanzo wa mabadiliko kwa sababu katiba mpya inawapa uwezo wananchi kuwajibisha viongozi wao tofauti na hii ya sasa inayompa mamlaka mtu mmoja kuamua mustakabali wa nchi.hivi lowasa angeshinda angekuja na lipi jipya?!
Kwani October mtakuwa mmerekebisha nini kipya? Maana Ccm inawapiga tu maana imetekeleza ilani yake kwa ufasaha na umakini.Sina popote ninapolalamika bali naweza rekodi sawa. Ni kweli waafrika wengi ni wajinga, lakini waafrika wote si wajinga. Wapinzani wangeshiriki uchaguzi wa kihayawani vile, ingekuwa ni sehemu ya kuanika ujinga wa mwafrika.
labda.Yes Lowassa chini ya mwamvuli wa ukawa wangepitisha ile katiba mpya chini ya rasimu ya Warioba. Huo ungekua mwanzo wa mabadiliko kwa sababu katiba mpya inawapa uwezo wananchi kuwajibisha viongozi wao tofauti na hii ya sasa inayompa mamlaka mtu mmoja kuamua mustakabali wa nchi.
Bwashee kuiombea Chadema ni chuki?Tenda wema uende zako Jo... Niliichangia NCCR-MAGEUZI, Nilimchangia Mrema. Nilimchangia Lamwai... Yalikuwa ni mahitaji ya nyakati SIJUTI..
Usiumbe CHUKI na CHADEMA eti kwakuwa tu kuna nguvu yako pale ulichangia
Jr[emoji769]
Kwani October mtakuwa mmerekebisha nini kipya? Maana Ccm inawapiga tu maana imetekeleza ilani yake kwa ufasaha na umakini.
matusi na uchawi ndio njia pekee ya kapuku kupambana na Tajiri bila mafanikioChadema ikifa huo ubunge wa Kyela utauza nyago kupitia chama gani bwashee?!
Tajiri uliyeajiriwa na mbunge!matusi na uchawi ndio njia pekee ya kapuku kupambana na Tajiri bila mafanikio
Hawa wameombewa hadi na gwajima ila hakuna kitu. Wamekuwa na padri katibu mkuu lakini bado tu