Nimejipima VVU, niko Negative (-)

Nimejipima VVU, niko Negative (-)

Endeleeni tu kuzivua chupi wazee, kama mnavyoona MABEBERU karibia wanasitisha msaada wa ARV 😂😂 , tutaelewana tu taratibu (in Dr.Shika's voice)
 
Endelea kupima siku ukikuta positive pia uje kutupa mrejesho.
 
Honestly sijawahi kupima,nina mpango wa kupima mapema mwakani kipindi nipo kwenye harakati a.k.a maandalizi ya kupata mimba

Mie niliwahi kupima wakati flani nikasema nikisalimika, naenda kozi ya utawa, niwe kasisi, padre mwandamizi, shemasi wa muda wote, mzee wa upako, buldozzer.... Majibu yakatoka safi kama moshi wa kumchagua Pope. Nisiongee sana kupima ni zoezi pevu, hasa kusubiria majibu.

inachonishangaza woga wa kupima nilikua nao hata wakati sijawahi kabisa kujihusisha na mahusiano.

Hiyo tender hapo mwakani itatangazwa kwa watu wote?
 
Tatizo la huo ugonjwa ni kwamba unapima lakini hupewi dawa ya kuutibu kama ukikutwa nao

Hahahahah hiyo tender itajumuisha tangazo kwenda kwa watu wote,vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Back
Top Bottom