Nimejipima VVU, niko Negative (-)

Nimejipima VVU, niko Negative (-)

Mie niliwahi kupima wakati flani nikasema nikisalimika, naenda kozi ya utawa, niwe kasisi, padre mwandamizi, shemasi wa muda wote, mzee wa upako, buldozzer.... Majibu yakatoka safi kama moshi wa kumchagua Pope. Nisiongee sana kupima ni zoezi pevu, hasa kusubiria majibu.

inachonishangaza woga wa kupima nilikua nao hata wakati sijawahi kabisa kujihusisha na mahusiano.

Hiyo tender hapo mwakani itatangazwa kwa watu wote?
Duuh,yan ulikua bikra afu unaogopa kupima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari

Katika vitu vigumu kufanya kwenye maisha yangu ilikua kupima Ukimwi maana niliuza mechi nyingi sana.Nina miaka 23 Nimetembea na wasichana 30+ na hakuna hata mmoja niliyetumia kinga.

Sasa juzi kati nilipata hofu kubwa sana baada ya kupita na manzi fulani mkalii ila nilikua simuelewi elewi.Ikapita miez kadhaa nikatafuta vipimo kadhaa vya HIV.

Nikakaza moyo nikajifungia ndani nikapima niko freshi aisee sikuamini nilitokwa na mchozi. Saa hizi msichana yeyote nikihitaji kula tunda nampima kwanza hapo hapo ndio nakula tunda kavu kavu.

Je ushawahi kujipima UKIMWI na ukakuta upo negative! ilikuaje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Tulia sasa umrudie Mungu wako maana sasa ukigusa tena unanaswa. Maana wanawake 30+ ni kwamba unakaribia 40 na kumbuka za mwizi 40 hutokatiza nakuapia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
HiV sio shida siku hizi
IMG-20200302-WA0022.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari

Katika vitu vigumu kufanya kwenye maisha yangu ilikua kupima Ukimwi maana niliuza mechi nyingi sana.Nina miaka 23 Nimetembea na wasichana 30+ na hakuna hata mmoja niliyetumia kinga.

Sasa juzi kati nilipata hofu kubwa sana baada ya kupita na manzi fulani mkalii ila nilikua simuelewi elewi.Ikapita miez kadhaa nikatafuta vipimo kadhaa vya HIV.

Nikakaza moyo nikajifungia ndani nikapima niko freshi aisee sikuamini nilitokwa na mchozi. Saa hizi msichana yeyote nikihitaji kula tunda nampima kwanza hapo hapo ndio nakula tunda kavu kavu.

Je ushawahi kujipima UKIMWI na ukakuta upo negative! ilikuaje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Bado sana, jipe muda: Do you Know? A Person Can Test HIV Negative but be Very Infecticious!
 
Hivyo vipimo hua vinapatikana pharmacy au hua mnavipata wapi?

Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk
 
Back
Top Bottom