Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Loh!hongera
Siyo hata hongera, siyo zoezi zuri aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loh!hongera
Okay, I hope kuna wale ambao tutafikia level ya pili ya interview.
Kwa wewe ni special case...utapita hadi practical interview moja kwa moja
😂😂😂😂Mwakani ifike haraka.
😂😂😂😂
Hili zoezi ni la mwakani mapema sana manake sitarajii kuvuka mwaka na tumbo....so mwakani kama sa hivi practical inakuwa inaendelea
Aaanh sawa, kumbe kuipata ile mimba ili igeuke kua mtu halisi hlf uanze kulea kuna maandalizi!Mie najua huwa yapo
Aaanh sawa, kumbe kuipata ile mimba ili igeuke kua mtu halisi hlf uanze kulea kuna maandalizi!
Aaanh sawa!Yaaaas!
Natuma CV tahadhal ipokee 4 pages[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili zoezi ni la mwakani mapema sana manake sitarajii kuvuka mwaka na tumbo....so mwakani kama sa hivi practical inakuwa inaendelea
Wengine tunasukumizia watu wakapime, wao wakiwa safi basi na Sisi tupo safi.Napima mara 2 kwa mwaka.
Hofu muhimu kwa ambao hatutumii mpiraUkimwi upo tu siku zote na watu wanaendelea kudunda eti yeye ana hofu....
Yani nipime afu nile na ndomu tena,haitowahi tokeaNa hii hatarii,bora umpime afu utumie na condom incase of any thing
Sent using Jamii Forums mobile app
Najitunza sasa mkuujichunge na uendelee kujilinda. ukimwi upo na siyo propaganda
CorrectlyKuwezekana Kwame sasa ndio balaa.
Sex should become a basic need of a human being, just like food, shelter and clothes
Wavulana hatuweziHaha ni ngumu sana kuitekeleza
Ila kutumia kinga , na kuwa na partna mmoja ni njia nzuri zaidi .