Siku ukipima afu imo utafanyajeHonestly sijawahi kupima,nina mpango wa kupima mapema mwakani kipindi nipo kwenye harakati a.k.a maandalizi ya kupata mimba
Unajua huna kwa machoNi kweli
Nitapima hiko kipindi najiandaa baada ya hapo nitakuwa napima mara nyingi...hata hivyo najua sina
Hahah,mm hata nikiukwaa sitotumia ARVEndeleeni tu kuzivua chupi wazee, kama mnavyoona MABEBERU karibia wanasitisha msaada wa ARV [emoji23][emoji23] , tutaelewana tu taratibu (in Dr.Shika's voice)
Hahah,mm nilipanga nikikuta positive nitaweka hapaEndelea kupima siku ukikuta positive pia uje kutupa mrejesho.
Duuh,yan ulikua bikra afu unaogopa kupima?Mie niliwahi kupima wakati flani nikasema nikisalimika, naenda kozi ya utawa, niwe kasisi, padre mwandamizi, shemasi wa muda wote, mzee wa upako, buldozzer.... Majibu yakatoka safi kama moshi wa kumchagua Pope. Nisiongee sana kupima ni zoezi pevu, hasa kusubiria majibu.
inachonishangaza woga wa kupima nilikua nao hata wakati sijawahi kabisa kujihusisha na mahusiano.
Hiyo tender hapo mwakani itatangazwa kwa watu wote?
Dawa ni kutotumia ARVTatizo la huo ugonjwa ni kwamba unapima lakini hupewi dawa ya kuutibu kama ukikutwa nao
Hahahahah hiyo tender itajumuisha tangazo kwenda kwa watu wote,vigezo na masharti kuzingatiwa
Wakuu habari
Katika vitu vigumu kufanya kwenye maisha yangu ilikua kupima Ukimwi maana niliuza mechi nyingi sana.Nina miaka 23 Nimetembea na wasichana 30+ na hakuna hata mmoja niliyetumia kinga.
Sasa juzi kati nilipata hofu kubwa sana baada ya kupita na manzi fulani mkalii ila nilikua simuelewi elewi.Ikapita miez kadhaa nikatafuta vipimo kadhaa vya HIV.
Nikakaza moyo nikajifungia ndani nikapima niko freshi aisee sikuamini nilitokwa na mchozi. Saa hizi msichana yeyote nikihitaji kula tunda nampima kwanza hapo hapo ndio nakula tunda kavu kavu.
Je ushawahi kujipima UKIMWI na ukakuta upo negative! ilikuaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikupe mm hiyo mimba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili zoezi ni la mwakani mapema sana manake sitarajii kuvuka mwaka na tumbo....so mwakani kama sa hivi practical inakuwa inaendelea
Akiwa yeye safi na mm naamini mzima kumbe wakati mwingine sioWengine tunasukumizia watu wakapime, wao wakiwa safi basi na Sisi tupo safi.
Haya mambo bhana hahahahahahaahaha
The window period is time between HIV infection and the point when the test will give an accurate result. During the window period a person can have HIV and be very infectious but still test HIV negative.
Itabidi muweze tu
Wakuu habari
Katika vitu vigumu kufanya kwenye maisha yangu ilikua kupima Ukimwi maana niliuza mechi nyingi sana.Nina miaka 23 Nimetembea na wasichana 30+ na hakuna hata mmoja niliyetumia kinga.
Sasa juzi kati nilipata hofu kubwa sana baada ya kupita na manzi fulani mkalii ila nilikua simuelewi elewi.Ikapita miez kadhaa nikatafuta vipimo kadhaa vya HIV.
Nikakaza moyo nikajifungia ndani nikapima niko freshi aisee sikuamini nilitokwa na mchozi. Saa hizi msichana yeyote nikihitaji kula tunda nampima kwanza hapo hapo ndio nakula tunda kavu kavu.
Je ushawahi kujipima UKIMWI na ukakuta upo negative! ilikuaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda gani akati sitopima tena na ni mzimaBado sana, jipe muda: Do you Know? A Person Can Test HIV Negative but be Very Infecticious!