Nimejipima VVU, niko Negative (-)

Hivyo vipimo hua vinapatikana pharmacy au hua mnavipata wapi?

Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk
Inabidi uwe karibu na Wauguzi wa Maabara hospitalini hasa za serikali
 
huna tofauti na mtu anaetoka kuzika, husema naacha dhambi, ila akili inasahau mapema sana utarudi kule mapema sana.
 
Unakuta mtu anakwambia et HIV ni ugonjwa wa kawaida ase huo ndo ushauri unaoponza ile ktu n kisanga
 
Ukimwi upo tu siku zote na watu wanaendelea kudunda eti yeye ana hofu....
Huenda kakosea kuchanganya hizo reagents ndo maana imetokea NEGATIVE Sasa nenda ANGAZA utafurahi na roho yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huenda kakosea kuchanganya hizo reagents ndo maana imetokea NEGATIVE Sasa nenda ANGAZA utafurahi na roho yako
Kwamba Angaza hawaongopi??
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…