Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwanaintelijensia bila mafanikio

Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwanaintelijensia bila mafanikio

Akili yako ni ndogo sana , tafuta kitabu cha EvaristChachali kinaitwa Afisa Usalama ni nani na anafanya kazi gani ili upate maarifa kidogo, Kama unawaza kwenda Usalama wa Taifa halafu unawaza kupiga pesa hapo kazi itakuwa ni ngumu sana. Sifa kubwa ya Afisa Usalama ni UZALENDO. Kama unawaza pesa tafuta connection za taasisi nyingine zenye mishahara na marupurupu upate hiyo pesa unayoitaka lakini sio pale TISS.
Nani anasema TISS HAWANA PESA NA MARUPURUPU


Tunawaona hapa Liquid wakilala na watoto wa TIA njoo liquid chapu ujioneee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
 
Mshahara wa Dhambi ni mauti hayo ndo majibu ya kazi ulokua unafanya kuisifia Swiss me au Fisiemu amini kwamba CCM ina wenyewe na wenyewe ndo hao wanaoitafuna nchi *****
 
Back
Top Bottom