Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anasema TISS HAWANA PESA NA MARUPURUPUAkili yako ni ndogo sana , tafuta kitabu cha EvaristChachali kinaitwa Afisa Usalama ni nani na anafanya kazi gani ili upate maarifa kidogo, Kama unawaza kwenda Usalama wa Taifa halafu unawaza kupiga pesa hapo kazi itakuwa ni ngumu sana. Sifa kubwa ya Afisa Usalama ni UZALENDO. Kama unawaza pesa tafuta connection za taasisi nyingine zenye mishahara na marupurupu upate hiyo pesa unayoitaka lakini sio pale TISS.
1/100 mbona mnakuza sana haka ka TaasisiKwa bahati mbaya vyoote ulivyotaja ni sawa na 1/100 kwahiyo kuwa na subra 99 sio mbali
Ni kweli ni "kataasisi" ka wauza vitumbua1/100 mbona mnakuza sana haka ka Taasisi
Kwa nnNi kweli ni "kataasisi" ka wauza vitumbua