Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasomaga toka uanze hii movement yako mkuu, niseme tu uko vzr kufanya kazi uliyopaswa kufanya!Nasomaga toka uanze hii movement yako mkuu, niseme tu uko vzr kufanya kazi uliyopaswa kufanya! Ila wazee wenzio wamekustukia hawatoi lolote linalohusu lengo lako japo najua kusema au kukaa kwao kimia ni sehem ya majibu uliyotaka pia.
Najua umenielewa, all in all
Nikushauri kwa akili yangu ndogo maisha matamu yapo kwenye uwezo wa kiwa wealth sio rich.
Ukiwa katika line hiyo utaenjoy sana uwepo wako hapa Duniani.
Amigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani pale ni Quarters mzeeSure mkuu unajua nimewaza sana ! Nikahisi labda kuna njia ya underground huwa wanapita
Ila kuna mdau hapo juu ndo kanifungua macho kasema huwa wanapitia TRA
Wewe siku nenda pale zuga zuga hata masaa mawili uone yani hamna movement yoyote