Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta connection kwa RSO ni mshkaji tu hana noma chekibobu flani hiviKwa nn upo hapo usi ni promote Mr maana CV umeiona
WA mkoa gani sasa hapo ndo kazi Mr na nambaTafuta connection kwa RSO ni mshkaji tu hana noma chekibobu flani hivi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]nimecheka eti sijui wanapitia wapi.hawa jamaa kwakweli mambo yao hayaeleweki na ya siri sana .. mfano pale stesheni kuna ofisi yao ila hata siku moja sijawai kuona mtu anaingia wala kutoka sasa sjui huwa wanapitia wapi
Sure mkuu unajua nimewaza sana ! Nikahisi labda kuna njia ya underground huwa wanapita[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]nimecheka eti sijui wanapitia wapi.
Location ni wapi maana huku PSSF Tower huku TRA HQ huku Sehemu ya MatakatakaSure mkuu unajua nimewaza sana ! Nikahisi labda kuna njia ya underground huwa wanapita
Ila kuna mdau hapo juu ndo kanifungua macho kasema huwa wanapitia TRA
Wewe siku nenda pale zuga zuga hata masaa mawili uone yani hamna movement yoyote
2019 ndomaana mkuu Asante sana mtaalamSijajua utaratibu ukoje rasmi ila nnachoweza kukueleza na najua haitaathuri usalama ni kuwa mara ya mwisho wamerecruit watu ni mwaka 2019 for two years sasa hawajaendesha kozi yao.
Kupata hakuna ulazima wa kuyafanya uliyoyafanya ila lazima ukidhi vigezo
Unaweza kugusiaSijajua utaratibu ukoje rasmi ila nnachoweza kukueleza na najua haitaathuri usalama ni kuwa mara ya mwisho wamerecruit watu ni mwaka 2019 for two years sasa hawajaendesha kozi yao.
Kupata hakuna ulazima wa kuyafanya uliyoyafanya ila lazima ukidhi vigezo
Probably baada ya MpareSijajua utaratibu ukoje rasmi ila nnachoweza kukueleza na najua haitaathuri usalama ni kuwa mara ya mwisho wamerecruit watu ni mwaka 2019 for two years sasa hawajaendesha kozi yao.
Kupata hakuna ulazima wa kuyafanya uliyoyafanya ila lazima ukidhi vigezo
Baada ya geti la kuingia pale TRC geti linalofata kubwa la kijani opposite kuna bajaj ...kagonge hapo utafunguliwaLocation ni wapi maana huku PSSF Tower huku TRA HQ huku Sehemu ya Matakataka
Hilo rasmi sasa ndo halijulikani lilipoKumbe kule nitaenda ila sio kugonga na nadhani geti la KIJANI ni la uhani na sio RASMI wanalotumia
sasa ulivyoambiwa kuna ajira za kufagia ofisini kwa DC kwanini hukwenda alafu unakuja kulalamika hapa alafu walikuona kiazi kama ulishindwa kutambua code nyepesi kama iyo ndio ungeweza kazi za tiss bora ubaki huko ukakamate matejaNimejitahidi kila mbinu kuwa mwana intelligence buila mafanikio tiss kuna nn
Uzi za watu wengi JamiiForum unapotosha eti kuwa TISS (usalama wa taifa) uwe na kadi ya CCM au mwana CCM au green guard.
Vyote wanavyosema unatakiwa uvifanye ili kuwa usalama wa taifa nimevifanya na nimeangukia patupu
Kuwa scout na bidii kubwa
Kuwa green guard na bidii kubwa
Kuwa mwana UVCCM na bidii kubwa
Kupitia jkt na bidii kubwa
Kusoma chuo tena nikasoma CFR chuo cha diplomasia na bidii kubwa
Kuhitimu from kindergarten tena na ufaulu wa juu na bidii kubwa
Kutafuta connection za watu ndani ya idara na bidii kubwa
Spend time in clubs na bar zilizojaa hawa watu na bidii kubwa
Pamoja na ndugu zangu kuwa huko idarani ambao ni wa staafu psu kipindi cha jemedari na bidii kubwa
Ila huwezi amini ni bila bila mwaka huu naenda police hatimaye ili kujipunguzia maumivu ya kukosa kazi idara hii
Niseme ukweli watu tunavyutiwa na:
Maneno ya kuna pesa nyingi na ma posho posho bila kujua kwa undani
Filamu na story za kijasusi
Lakini tunaona tuu pale ni kaanani opposite na St Peters na most Osterbay ina kufika hatufiki naomba ambao wapo kama mimi tukutane maana kipindi nipo jkt kuna jamaa alikuwa ana bidii na vyeti alipewa ina tupo pamoja tuuu
Nadhani ugumu unakuwa kujibu maswali haya.
1. Mawakala kina nani
2.Usaili wapi
3.Depo mwezi gani
Mpaka na jiuliza kipindi cha mwendazake ajira zilisitishwa na kipindi cha mama vipi maana wengi wameingia kipindi cha kikwete na mkapa
Mwenye kutaka ushauri au intel yeyote anione pm au dm
Watanzania tuna wa overate sana na kuwakuza sana
Late JPM alisema mtu aliwa anajua kukaa mguu pande na sawa means normal common sense tuu anaweza kusailiwa chombo chochote cha ulinzi na usalama
Sasa hii ya kudanganya watu et ts wanaangalia ukimya wa watu tz kuna wanafunzi ma laki
Kuna wananchi zaidi ya million 60 tutasema kuna watu wanaangalia kila mmoja ili wawaingize ts ni uwongo
Kuna waliopitia jkt na wakapata nafasi ya kuwa mafunzoni na watoto wa wakubwa waliowaambia wanaokuja kesho ni ts wanaofanya usaili
Na kweli kesho wake wakawasili na gear wanataka wafanyakazi wa kusimamia na kufanya kazi beach
Mara wafagia maofisi ya ma DC na ma RC
Tukubali kuna watu qamefanikiwa kujiunga huko kutokana na
1.Bahati
2.Watoto wa wakuu vyombo vyingine vya usalama na ulinzi
3.Watoto wa wanasiasa
Hao ndo wamejaa huko mambo ya sijui wanapita chuo mara jkt mara nn
Ilikuwa ni bahati tuu ya kipindi cha Kikwete
Wakuu nimefanya uzalendo kwa nchi hii acheni tuuu
1.KUOMBEA TAIFA
2.KUSHIRIKI KUZIMA MOTO KILIMANJARO AMBAYO NINA DOCUMENTARY YANGU HUKU
3.KU EDIT MADA MBAYA KUWA NZURI KUHUSU TISS WIKIPEDIA
HASA ZILIZOKUWA ZINAMHUSU KUPIGWA RISASI TUNDU LISU NA KUFUTA KUMHUSISHA
DGIS FRANSIS MODESTUS KIPILIMBA
ACHENI TUU WAZEE
UMEELEWA KWELI KWELI AU?sasa ulivyoambiwa kuna ajira za kufagia ofisini kwa DC kwanini hukwenda alafu unakuja kulalamika hapa alafu walikuona kiazi kama ulishindwa kutambua code nyepesi kama iyo ndio ungeweza kazi za tiss bora ubaki huko ukakamate mateja
Unajitahidi kweli kuufahamu ukweli ni upi, naona unakusanya tu madodoso yako!Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwana intelligence buila mafanikio tiss kuna nn