Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwanaintelijensia bila mafanikio

ILA WADAU AMBAO MMEFANIKIWA MSHUKURUNI MUNGU SANA WADAU

MM NIKIJA PATA CAPITAL YA 10M

USHUHUDA NITAKAOLETA HUKU ACHA KABISA PLAN MILLION 0 WORK DONE 0 OUTPUT
 
Uongo fani zote zipo mfano Osama bin Laden walimdaka madaktari kupitia clinic za watoto wake walipoenda hospital chanjo ya watoto wakacheck DNA kwenye damu wakagundua yafanana na Osama wakawapa taarifa intelligence ikawafuatilia nyumba walikotokea wakagundua sio ya kawaida behavior yake na walipofuatilia zaidi wakakiona kibabu Osama yuko ndani wakamshukia kama mwewe kuua

Usalama wa nchi ni wa kila mwananchi na kila mzalendo

Fani zote ziko usalama wa Taifa hakuna hata moja isiyokuwepo
Hapana sio fani zote. Kazi ya intelligence officer ni analysis. Ndio maana nchi nyingine waliosoma sheria ndo hupewa kipaumbele. Ikija tip kwamba osama alimpeleka nduguye hospital anaeenda kuchambua taarifa za majibu ya hospital sio mtu wa medicine, ni intelligence officer.
 
KABISA
 
Nakumbukumbu ya 7 G Mzee [emoji23][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji23]

Ndo maana nashangaa nimepitia yote hayo TEETH hawanioni tuuu
TISS hawajawahi taka mtu anayewataka

Tiss ni dude ambalo hata DGISS mwenyewe halijui

Just give up on this thing
Na ishi maisha yako
 
DGIS halijui Tena [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]
 
TISS hawajawahi taka mtu anayewataka

Tiss ni dude ambalo hata DGISS mwenyewe halijui

Just give up on this thing
Na ishi maisha yako
Hapo kusema DGISS halijui umeniacha kwa mataa sasa unaongozaje kitu hukijui?
 
blaza...kule hujipeleki...hakuna mtihani wala hakuna cha undugu....system ina mtiririko wake maalum ambao umerithiwa kizazi na kizazi....kuna comment moja hapo juu wamesema utumwa.....hakika ni utumwa utumwani.....uhuru wako umeukabidhi kwa TAIFA lako.......unaweza kuwa na assignemt hata ya kumuangusha nduguyo wa karibu sbb ndio inaweza kuwa suluhusho........KIKUBWA WELEDI NA UZALENDO......jua hakuna kustaafu.........wako mpaka wa std 7......akili ya kuzaliwa ndio muhimu...kutumia silaha unafundishwa so....wewe tengeneza your life tunza familia yako....silaha zinauzwa...vigezo muhimu....achana na hii ishu.....
 
TISS WATAANGAZE KAZI WAZI SASA WANAFICHA NN AKAT TPDF WAKO WAZI

NCHI ZA WEZETU UKO WAZI NDO MAANA WATU KAMA SISI INAKUWA RAISI KUPEWA VITENGO NA KUCHAPA KAZI VIZURI

NAKUMBUKA KUNA MI5 MMOJA WINGEREZA AMEKUFA MIAKA 3 NDO MKEO AKAJUA KAZI YA MUME WAKE BAADA YA KISOMA DIARY NA KUMBUKA HAPO NI BAADA YA MIAKA ZAIDI YA 15 YA NDOA JAMAA ANAMUAGA KWENDA KAZINI AKIMWAMBIA NI ENGINEER KUMBE JASUSI WA MI5
SHIRIKA LA NDANI LA UWINGEREZA

View attachment 1935990
TPDF wako wazi toka lini?? Usiseme miaka wakina kikwete kwenda chini,
 
blaza...kule hujipeleki...hakuna mtihani wala hakuna cha undugu....system ina mtiririko wake maalum ambao umerithiwa kizazi na kizazi....kuna comment moja hapo juu wamesema utumwa.....hakika ni utumwa utumwani.....uhuru wako umeukabidhi kwa TAIFA lako.......unaweza kuwa na assignemt hata ya kumuangusha nduguyo wa karibu sbb ndio inaweza kuwa suluhusho........KIKUBWA WELEDI NA UZALENDO......jua hakuna kustaafu.........wako mpaka wa std 7......akili ya kuzaliwa ndio muhimu...kutumia silaha unafundishwa so....wewe tengeneza your life tunza familia yako....silaha zinauzwa...vigezo muhimu....achana na hii ishu.....
....system ina mtiririko wake maalum ambao umerithiwa kizazi na kizazi...

Umeambiwa na nan
 
blaza...kule hujipeleki...hakuna mtihani wala hakuna cha undugu....system ina mtiririko wake maalum ambao umerithiwa kizazi na kizazi....kuna comment moja hapo juu wamesema utumwa.....hakika ni utumwa utumwani.....uhuru wako umeukabidhi kwa TAIFA lako.......unaweza kuwa na assignemt hata ya kumuangusha nduguyo wa karibu sbb ndio inaweza kuwa suluhusho........KIKUBWA WELEDI NA UZALENDO......jua hakuna kustaafu.........wako mpaka wa std 7......akili ya kuzaliwa ndio muhimu...kutumia silaha unafundishwa so....wewe tengeneza your life tunza familia yako....silaha zinauzwa...vigezo muhimu....achana na hii ishu.....
......jua hakuna kustaafu......

Unaongelea TISS au ISI?
 
......jua hakuna kustaafu......

Unaongelea TISS au ISI?
nimekudokezea tuu...aidha hujui ukitakacho.....tafuta peza BLAZA.......endelea kuwa JUHA tuu.....maana inawezekana hata wewe ni KUWADI fulani....
 
Back
Top Bottom