Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli halisiTISS hawajawahi taka mtu anayewataka
Tiss ni dude ambalo hata DGISS mwenyewe halijui
Just give up on this thing
Na ishi maisha yako
sasa unafanya konection na walinzi wa getini wa tiss kweli nafasi zinaishia kwa dso wa wilaya huyo ukiwa na connection nae usipopita umerongwaaaa..ila kumbuka tu na wao pia wanandugu na watoto pia wanatafuta kazi sasa sijui achukuliwe nani haachwe nani?😀😀Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwana intelligence buila mafanikio tiss kuna nn
Uzi za watu wengi JamiiForum unapotosha eti kuwa TISS (usalama wa taifa) uwe na kadi ya CCM au mwana CCM au green guard.
Vyote wanavyosema unatakiwa uvifanye ili kuwa usalama wa taifa nimevifanya na nimeangukia patupu
Kuwa scout na bidii kubwa
Kuwa green guard na bidii kubwa
Kuwa mwana UVCCM na bidii kubwa
Kupitia jkt na bidii kubwa
Kusoma chuo tena nikasoma CFR chuo cha diplomasia na bidii kubwa
Kuhitimu from kindergarten tena na ufaulu wa juu na bidii kubwa
Kutafuta connection za watu ndani ya idara na bidii kubwa
Spend time in clubs na bar zilizojaa hawa watu na bidii kubwa
Pamoja na ndugu zangu kuwa huko idarani ambao ni wa staafu psu kipindi cha jemedari na bidii kubwa
Ila huwezi amini ni bila bila mwaka huu naenda police hatimaye ili kujipunguzia maumivu ya kukosa kazi idara hii
Niseme ukweli watu tunavyutiwa na:
Maneno ya kuna pesa nyingi na ma posho posho bila kujua kwa undani
Filamu na story za kijasusi
Lakini tunaona tuu pale ni kaanani opposite na St Peters na most Osterbay ina kufika hatufiki naomba ambao wapo kama mimi tukutane maana kipindi nipo jkt kuna jamaa alikuwa ana bidii na vyeti alipewa ina tupo pamoja tuuu
Nadhani ugumu unakuwa kujibu maswali haya.
1. Mawakala kina nani
2.Usaili wapi
3.Depo mwezi gani
Mpaka na jiuliza kipindi cha mwendazake ajira zilisitishwa na kipindi cha mama vipi maana wengi wameingia kipindi cha kikwete na mkapa
Mwenye kutaka ushauri au intel yeyote anione pm au dm
Watanzania tuna wa overate sana na kuwakuza sana
Late JPM alisema mtu aliwa anajua kukaa mguu pande na sawa means normal common sense tuu anaweza kusailiwa chombo chochote cha ulinzi na usalama
Sasa hii ya kudanganya watu et ts wanaangalia ukimya wa watu tz kuna wanafunzi ma laki
Kuna wananchi zaidi ya million 60 tutasema kuna watu wanaangalia kila mmoja ili wawaingize ts ni uwongo
Kuna waliopitia jkt na wakapata nafasi ya kuwa mafunzoni na watoto wa wakubwa waliowaambia wanaokuja kesho ni ts wanaofanya usaili
Na kweli kesho wake wakawasili na gear wanataka wafanyakazi wa kusimamia na kufanya kazi beach
Mara wafagia maofisi ya ma DC na ma RC
Tukubali kuna watu qamefanikiwa kujiunga huko kutokana na
1.Bahati
2.Watoto wa wakuu vyombo vyingine vya usalama na ulinzi
3.Watoto wa wanasiasa
Hao ndo wamejaa huko mambo ya sijui wanapita chuo mara jkt mara nn
Ilikuwa ni bahati tuu ya kipindi cha Kikwete
Wakuu nimefanya uzalendo kwa nchi hii acheni tuuu
1.KUOMBEA TAIFA
2.KUSHIRIKI KUZIMA MOTO KILIMANJARO AMBAYO NINA DOCUMENTARY YANGU HUKU
3.KU EDIT MADA MBAYA KUWA NZURI KUHUSU TISS WIKIPEDIA
HASA ZILIZOKUWA ZINAMHUSU KUPIGWA RISASI TUNDU LISU NA KUFUTA KUMHUSISHA
DGIS FRANSIS MODESTUS KIPILIMBA
ACHENI TUU WAZEE
wanatafuta na wanaajili kama idara nyingine za ulinzi tu msipotoshe wananchi...ila vetting kwao ndio inayozingatiwa zaidi ni kama idara sekritarieti ya ajira wanapozingatia uhalisia wa vyeti vya wasailiwa kwenye interview vile..Kwa bahati mbaya sana, wewe huwatafuti, wao wakijuhitaji watakutafuta, watajua habari zako, watakuita
AISEEsasa unafanya konection na walinzi wa getini wa tiss kweli nafasi zinaishia kwa dso wa wilaya huyo ukiwa na connection nae usipopita umerongwaaaa..ila kumbuka tu na wao pia wanandugu na watoto pia wanatafuta kazi sasa sijui achukuliwe nani haachwe nani?😀😀
UNADATA KIDOGOwanatafuta na wanaajili kama idara nyingine za ulinzi tu msipotoshe wananchi...ila vetting kwao ndio inayozingatiwa zaidi ni kama idara sekritarieti ya ajira wanapozingatia uhalisia wa vyeti vya wasailiwa kwenye interview vile..
Nyama zaidi Mrwanatafuta na wanaajili kama idara nyingine za ulinzi tu msipotoshe wananchi...ila vetting kwao ndio inayozingatiwa zaidi ni kama idara sekritarieti ya ajira wanapozingatia uhalisia wa vyeti vya wasailiwa kwenye interview vile..
NIMETOKA KUZUNGUKA HAPO TOKA SAA 11 HADI SAA SABA HAWANIITI WANIPE KAZI TUU NIMEISHIAhawa jamaa kwakweli mambo yao hayaeleweki na ya siri sana .. mfano pale stesheni kuna ofisi yao ila hata siku moja sijawai kuona mtu anaingia wala kutoka sasa sjui huwa wanapitia wapi
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji28]Hayo madude ukiyapenda sana hayakutaki na ukiwahuyataki sana yanakupenda[emoji23]......
Ngoja waje...
Maisha ni zaidi ya unachokihitaji mkuu....
Si ungeenda kugonga kwenye lile geti la kijani mkuu? Au kama vipi ruka ukuta upande ule wa kwenye kona ingia ndani waambie natafuta kaziNIMETOKA KUZUNGUKA HAPO TOKA SAA 11 HADI SAA SABA HAWANIITI WANIPE KAZI TUU NIMEISHIA
kwenye kijiwe cha kahawa pale Steshen katikati wadau kama 30 hivyi vijiwe hivyi
Story zinazotamba ni SIMBA Day
Mdau mmoja kwa jina la Juma wamemuandama sana maana ni Yanga
Nataka nitie Kambi Kila siku mpaka nipate connection maana sio kwa u JOBLESS
huu.
Ila Kariakoo mbaruku street napo asubuhi kulikuwa na mada Tamu kuhusu TISS sema nilikuwa na haraka tuuu.
Mdau mmoja alisema TISS wanaotambuliwa na serikali ni Hawa NEW RECRUITING tuu et wale wenye Zaid ya mwaka mmoja hawatambuliki
Sas sijui ni Information Gathering anafanya au nn
LA KIJANI SIJALIONASi ungeenda kugonga kwenye lile geti la kijani mkuu? Au kama vipi ruka ukuta upande ule wa kwenye kona ingia ndani waambie natafuta kazi