Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,596
- 6,023
Kuna kitu inaitwa Berreta 9mm
Kikubwa tunachovutiwa nacho au kukipenda nikumiliki hii
View attachment 1933668
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa tunachovutiwa nacho au kukipenda nikumiliki hii
View attachment 1933668
ndio kwanini hukwenda ulipopata nafasi au unataka wakuajili muda unaotaka weweUMEELEWA KWELI KWELI AU?
CHANCE ZA KITAMBO HIZO JK TIME
Itakuwa ww n walewaleKuna kitu inaitwa Berreta 9mm
Kwa kubwatuka namna hui, hawatakuchukua kamwe. Sifa yao mojawapo ni vitendo na si maneno hasa ya kujisifu.Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwana intelligence buila mafanikio tiss kuna nn
Uzi za watu wengi JamiiForum unapotosha eti kuwa TISS (usalama wa taifa) uwe na kadi ya CCM au mwana CCM au green guard.
Vyote wanavyosema unatakiwa uvifanye ili kuwa usalama wa taifa nimevifanya na nimeangukia patupu
Kuwa scout na bidii kubwa
Kuwa green guard na bidii kubwa
Kuwa mwana UVCCM na bidii kubwa
Kupitia jkt na bidii kubwa
Kusoma chuo tena nikasoma CFR chuo cha diplomasia na bidii kubwa
Kuhitimu from kindergarten tena na ufaulu wa juu na bidii kubwa
Kutafuta connection za watu ndani ya idara na bidii kubwa
Spend time in clubs na bar zilizojaa hawa watu na bidii kubwa
Pamoja na ndugu zangu kuwa huko idarani ambao ni wa staafu psu kipindi cha jemedari na bidii kubwa
Ila huwezi amini ni bila bila mwaka huu naenda police hatimaye ili kujipunguzia maumivu ya kukosa kazi idara hii
Niseme ukweli watu tunavyutiwa na:
Maneno ya kuna pesa nyingi na ma posho posho bila kujua kwa undani
Filamu na story za kijasusi
Lakini tunaona tuu pale ni kaanani opposite na St Peters na most Osterbay ina kufika hatufiki naomba ambao wapo kama mimi tukutane maana kipindi nipo jkt kuna jamaa alikuwa ana bidii na vyeti alipewa ina tupo pamoja tuuu
Nadhani ugumu unakuwa kujibu maswali haya.
1. Mawakala kina nani
2.Usaili wapi
3.Depo mwezi gani
Mpaka na jiuliza kipindi cha mwendazake ajira zilisitishwa na kipindi cha mama vipi maana wengi wameingia kipindi cha kikwete na mkapa
Mwenye kutaka ushauri au intel yeyote anione pm au dm
Watanzania tuna wa overate sana na kuwakuza sana
Late JPM alisema mtu aliwa anajua kukaa mguu pande na sawa means normal common sense tuu anaweza kusailiwa chombo chochote cha ulinzi na usalama
Sasa hii ya kudanganya watu et ts wanaangalia ukimya wa watu tz kuna wanafunzi ma laki
Kuna wananchi zaidi ya million 60 tutasema kuna watu wanaangalia kila mmoja ili wawaingize ts ni uwongo
Kuna waliopitia jkt na wakapata nafasi ya kuwa mafunzoni na watoto wa wakubwa waliowaambia wanaokuja kesho ni ts wanaofanya usaili
Na kweli kesho wake wakawasili na gear wanataka wafanyakazi wa kusimamia na kufanya kazi beach
Mara wafagia maofisi ya ma DC na ma RC
Tukubali kuna watu qamefanikiwa kujiunga huko kutokana na
1.Bahati
2.Watoto wa wakuu vyombo vyingine vya usalama na ulinzi
3.Watoto wa wanasiasa
Hao ndo wamejaa huko mambo ya sijui wanapita chuo mara jkt mara nn
Ilikuwa ni bahati tuu ya kipindi cha Kikwete
Wakuu nimefanya uzalendo kwa nchi hii acheni tuuu
1.KUOMBEA TAIFA
2.KUSHIRIKI KUZIMA MOTO KILIMANJARO AMBAYO NINA DOCUMENTARY YANGU HUKU
3.KU EDIT MADA MBAYA KUWA NZURI KUHUSU TISS WIKIPEDIA
HASA ZILIZOKUWA ZINAMHUSU KUPIGWA RISASI TUNDU LISU NA KUFUTA KUMHUSISHA
DGIS FRANSIS MODESTUS KIPILIMBA
ACHENI TUU WAZEE
Hivyo ni inavyotakiwa kuwa shangaa ilivyo sasa.........Kwanza utambue hicho unachowaza kukipata si ajira,
Huwa Wana ajira zao za kawaida alafu hicho kinafata haijalishi utakuwa kwenye majeshi au popote ukionekana ulipokuwepo una umuhimu utafatwa na mpaka unafatwa jua tayari wanakujua nidhamu yako toka shule ya msingi na ukoo wako wote unajulikana.
UNAJIONGELEA WW ALAFU UNATAKA MM NIFUATE UNAYOYAFANYA AU KUFANYAMimi najua fika nina potentials za hiyo kazi ila utafiti wangu ukinionesha sio kazi nzuri ya kufanya kwa mustakabali wa maisha yangu hasa kwa uwezo nilijaaliwa na Mungu! Nakushauri sana achana na hilo wazo,tafuta maisha katika angle nyingine.Sina namna nyingine ya kukuonya usikie!
(We jamaa ww)Mimi najua fika nina potentials za hiyo kazi ila utafiti wangu ukinionesha sio kazi nzuri ya kufanya kwa mustakabali wa maisha yangu hasa kwa uwezo nilijaaliwa na Mungu! Nakushauri sana achana na hilo wazo,tafuta maisha katika angle nyingine.Sina namna nyingine ya kukuonya usikie!
Hujaelewa kijana?Emb ongezea nyama kwa maandishi yako
Wala huhitaji kuwa Einstein kuelewa hiyo sentens otherwise utakua na matatizoAtakaye kuelewa ni Einstein labda