Possible maana mi mdogo angu range alikiua wa kwanza jsk oljoro na wakata kumbakiksha ila akapiga chini akaenda kusoma diploma ya medical kwanza now ndio kajoin tpdf directly maana walimtaka wao.ila hii ni baada ya kukosa kazi ya udaktari
ACHENI TUU NILIKUWA NATABIA YA KUKESHA LIBRARY
ADVANCE WAKAJA JAMAA KUCHUKUA VYETI VYAO VYA 6 HAPO TAYARI WANA VYETI VYA TPDF WAMEENDA JKT NA KUNA COURSE WALIPITIA
NIKASEMA KUNA WATU WANABAHATI.
SIKILIZA SASA BAHATI YAO.
WOTE WAMESOMA ADVANCE TENA CBG AMNA YA P... WALA P ......
SIJUI NI CONNECTION AU MAANA WOTE WANA DIV2
ADVANCE YETU WAKICHUKUA 3.
MMOJA AKABAKI HAPO MONDULI HAO WAWILI WALIOKUJA SASABAADA YA COURSE MMOJA ANAENDA RUSSIA
NA MWINGINE SIJUI NI CHINA KAMA SIO BULGARIA
kwa ambao hawapendi maandishi makubwa
Nakumbuka tuu jamaa wanaendana kino(urefu)
Mpaka sasa nadhani wananyota zao wamerudi Tz
Sijui mm Nina fail wapi mazeeeew
Hivyi ni Mimi au navijana wenzangu tunafail kwa pamoja?