Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwanaintelijensia bila mafanikio

Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwanaintelijensia bila mafanikio

Ndo ilivyosemekana hujasoma hapo juu

Ilisemekana sana hata hapa jf ooh kila UVCCM Mchongo wa USALAMA n Rais

Napicha za UVCCM na baada walivyokuwa usalama
uvccm unaowaona badae wanakuja kuwa usalama ni wale ambao familia zao zipo tangu zamani kwenye inner circel; sio umetoka zako mbwinde huko ukazani kuwa na kijikadi cha chama ndo umemaliza,
 
KINA PINDA,LOWASSA MZEE WA SOMA HIYO KAMA VYIGEZO NDO HIVYO SIJUI WANGEINGIAJE

KINA MAHIGE
KINA KOMBA
KINA APSON
KINA KIPILIMBA
KINA OTHMAN
 
KINA PINDA,LOWASSA MZEE WA SOMA HIYO KAMA VYIGEZO NDO HIVYO SIJUI WANGEINGIAJE

KINA MAHIGE
KINA KOMBA
KINA APSON
KINA KIPILIMBA
KINA OTHMAN
wapo wengi humu, wengine hawataki kuyazungumzia, Hiyo simu yako haina herufi ndogo? wengine tuna matatizo ya macho, hatuoni herufi kubwa![emoji2958]
 
Pole sana bwana titan51

Njoo kwa Mungu, Kuna Kitengo Cha INTELEJENSIA YA ROHONI..

Hiki ni zaidi Tiss.. Njoo, Nitakusaidia USAJILIWE "kitengoni" bila kutoa "cheda/mtonyo"..

Na ukiwa mwana intelejensia wa kiroho basi kwako wewe hesabu Maisha umetoboa [emoji817] POPOTE KAMBI, POPOTE UNATAMBA.

INTELEJENSIA YA ROHONI
Aisee
 
Nakushauri acha kupoteza muda wako, yote uliyoyaeleza umeyapitia ili uwe tiss ni ubatili mtupu, tambua kua hayo yote si njia sahihi wanazotumia kupatikana hao viumbe
Viumbe Tena WW unaamini njia Gani WANATUMIA???
 
Mrema usalama, Mahiga alikua usalama, Zitto usalama. What do they all have in common? Walisoma shule nzuri za serikali. Tosamaganga, Tabora Boys, Ilboru etc
 
uvccm unaowaona badae wanakuja kuwa usalama ni wale ambao familia zao zipo tangu zamani kwenye inner circel; sio umetoka zako mbwinde huko ukazani kuwa na kijikadi cha chama ndo umemaliza,
Thibitisha hii
 
Mrema usalama, Mahiga alikua usalama, Zitto usalama. What do they all have in common? Walisoma shule nzuri za serikali. Tosamaganga, Tabora Boys, Ilboru etc
Kwenye shule sijagusia Ila nimesoma shule Bora kabisa

Kwa Zitto VP Tindikali aliyomiminiwa VP

Mrema unajua elimu yake Hadi ualimu?
Maana anasema alikuwa mwalimu then TISS wilaya then TISS mikoa mbali mbali then Ministry of Home Affairs
 
hawa jamaa kwakweli mambo yao hayaeleweki na ya siri sana .. mfano pale stesheni kuna ofisi yao ila hata siku moja sijawai kuona mtu anaingia wala kutoka sasa sjui huwa wanapitia wapi
 
Back
Top Bottom