BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Mwaka 2006 Tabora boys walikuja kufanya usahili kwa wanafunzi wa kodato cha sita, wengi waliopata nafasi ya kuendelea na usahili wa ziada walikua wanasoma HGL. Ile ni kazi ya umbea, na uchambuzi wa lugha hivyo inahitaji wataalamu wa lugha.Kwenye shule sijagusia Ila nimesoma shule Bora kabisa
Kwa Zitto VP Tindikali aliyomiminiwa VP
Mrema unajua elimu yake Hadi ualimu?
Maana anasema alikuwa mwalimu then TISS wilaya then TISS mikoa mbali mbali then Ministry of Home Affairs