Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwanaintelijensia bila mafanikio

Kwanza utambue hicho unachowaza kukipata si ajira,
Huwa Wana ajira zao za kawaida alafu hicho kinafata haijalishi utakuwa kwenye majeshi au popote ukionekana ulipokuwepo una umuhimu utafatwa na mpaka unafatwa jua tayari wanakujua nidhamu yako toka shule ya msingi na ukoo wako wote unajulikana.
 
Kwa kukosa kazi tuuu uko ukuu unapiga kelele.... Je ungepata si-ungeeweka matangazo itv na tbc kuwa umepata kazi... Hap hap ulipo haufai hata kuwa house girl...
 

kosa kubwa ulilofanya ni kujihusisha na siasa wala usiangaike kumtafuta mchawi
 
Pole sana bwana titan51

Njoo kwa Mungu, Kuna Kitengo Cha INTELEJENSIA YA ROHONI..

Hiki ni zaidi Tiss.. Njoo, Nitakusaidia USAJILIWE "kitengoni" bila kutoa "cheda/mtonyo"..

Na ukiwa mwana intelejensia wa kiroho basi kwako wewe hesabu Maisha umetoboa 💯 POPOTE KAMBI, POPOTE UNATAMBA.

INTELEJENSIA YA ROHONI
 
Nakushauri acha kupoteza muda wako, yote uliyoyaeleza umeyapitia ili uwe tiss ni ubatili mtupu, tambua kua hayo yote si njia sahihi wanazotumia kupatikana hao viumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…