Nimejiuzulu rasmi nafasi yangu ya Ujumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

Aidha, naishukuru Taasisi yangu na Bodi ya Wakurugenzi kwa kulipa gharama zote za ushiriki wangu katika vikao vyote na shughuli za Tume kwa takribani miaka miwili.​
Kwamba ulikuwa unalipa tena ? Yaani hii Bodi ilikuwa pia a Cash Cow ? Au sio monetary Fee ?

Things are Falling Apart..., If not yet Fallen...
 
Watawala hawa hawafai kabisa kufanya kazi nao. Umefanya jambo jema.
 
Ukiamua kusimamia unachokiamini, kuwa tofauti na watawala, hakika utakinywea kikombe. Watawala hawataki kusemwa wala kufichuliwa maovu yao, hasa watawala wa Afrika.
Hongera sana Max.
 
Wahuni wapigwe tu, tena nasema wapigwe tu! Hili ni pigo maridhawa kwao.
 
Something is not right at all
 
Maxence amefanya kazi yake inavyopaswa kila mtu ana uhuru wakutoa hoja na ndio uhuru wa habari.So JF imefungwa kisa Rostam Aziz kwani habari ngapi zinaletwa humu na kujadiliwa why hiyo ya Rostam ndio inamashiko.Mtaishia pabaya ni swala la muda tu
 
Kwa hiyo ukijitoa kwenye bodi ya ulinzi wa taarifa binafsi maana yake sasa hakuta kuwa na ulinzi tena wa taatifa binafsi?au
 
HONGERA MELO KWA KUNAWA MIKONO NA KUJITOA PEMBENI KAMA PILATO,KUTOKUSHIRIKI KUWA SEHEMU YA HAO,

KWA KIFUPI JF SIO SALAMA TENA,USIRI WA UTAMBULISHO WA TAARIFA ZA MEMBERS NA UHURU WA KUTOA MAONI NA KUPATA HABARI NI WA KUTILIA SHAKA AMA SASA HAUPO KABISA.??

ILIANZA NA KUFUTA BAADHI YA NYUZI,.....FUTA..!! FUTA ..! YA NYUZI...!!

NGOJA TUONE ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…