Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Dah sio fresh mkuu, unaubaguzi kweli kwa dada zetu waliopewa sura za babu mzaa babu
Siwezi mzidi mpenzi wangu uzuri bwana,asa mpenzi ana sura ka babu alafu hao wanaongozaaaa kwa kuzaa watoto wanaofanana naooooo acha kbsa..dem akiwa mzuri sura ya mtoto inakimbilia kwa baba sjui hawa watoto huko tumbon wanajuaga nan mwnye sura ya ajabu!
 
Asubutuuuuuuu
Tutabanana hapahapa na nyie.
shida yenu mtufumanie na tunavyochepuka maana hamjambo kwa kuganda bwana,sawa acheni tubanane humu humu ila ndo mjiandae kukuta msg za side chick za kutosha,yan kwa jiran lazma
 
Sawa...ila uki-cheat baadae si utarudi kwangu?
 
Wapo tu ila sema hawajapatikana,kuna siku mabaki yao yatapatikana tu!
Ulibahatika kuona ile episode ya "the perfect murder" ambapo watu wawili walikuwa wrongly convicted for over 17 years kwa kosa la kubaka na kumuua binti?It was so shocking,kipindi uhalifu unatendeka hakukuwa na DNA!
Dah kumbe na we mkuu unazikubali hizi mambo ni nowma aisee.ukisikia mtu anasema
"I need my lawyer" ujue shughuli imeanza
 
Back
Top Bottom