Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

sIKU HIZI NISHASHTUKA nikiwapgia simu nawapigia Video call,camera za mbele za simu hua zina pixel ndogo so ukipga video call Unampata mzima mzima tena pga ile mchana mmechatiiiiii alaf akakwambia niko njian natoka mahali flan Pga pale pale akiwa huko njian au ukiweza piga ile asubuhi ileee Yani akikwambia tu DEAR KARIBU CHAI itikia kwa video call...nshawabamba wemngi sana wakinywea chai kwenye mabakuli na vkombe vya plastic.
 
Hiyo avatar yako vipi, tunatishana
 
Hahahahaaaaaaa,sawa bhana!Ila kuna wengine wakishakuzoom,hata maji hupati!Utashangaa simu haipatikani ghafla,unabaki kushangaashangaa!
Ila sio vizuri.
Kwahiyo kwa kuwa yuko tofauti ndo mana hukumpenda.
Ila angekuwa na chura ungempenda.
Wanaume aliyewaroga kafa kwakweli
 
Wanawake wengi tuko wazuri kwenye picha. Sasa kuna wale wenzangu na mie anapiga na camera ya Snapchat bado akitoka hapo anaipitishia filters Kama mbili tatu. Akipost insta kusifiwa kama kote. Kaka zangu wa JF wakiona zile picha wanahitimisha wanawake wa insta wazuri kuliko wa JF..
 
Ila sio vizuri.
Kwahiyo kwa kuwa yuko tofauti ndo mana hukumpenda.
Ila angekuwa na chura ungempenda.
Wanaume aliyewaroga kafa kwakweli
Shida sio chura,chura alikuwa nayo!Shida sura iliyogoma mkorogo!
 
Hapana bhana!Mi nasema tu,mi napenda zigo dogo dogo!Mikunjo yote mnaenda,sio mibonge,inachoweza ni kuinamisha tu!
Umeona sasa.
Hapo ndo balaa linapoanzia.
Asa si ungemwabia tu kuwa we mnene au mwembamba.
Kama mnene anajikataa mapema kuliko kutiana aibu huko mbele ya safari
 
Umeona sasa.
Hapo ndo balaa linapoanzia.
Asa si ungemwabia tu kuwa we mnene au mwembamba.
Kama mnene anajikataa mapema kuliko kutiana aibu huko mbele ya safari
Shida sio zigo mamito,shida sura iliyogoma mkorogo!
 
Back
Top Bottom