Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Acheni roho mbaya na husda.
Sasa mnataka sie wenye sura za baba tupendwe na akina nani?

Kwani wewe unataka sura au mnato?
Acheni ulimbukeni na ushamba.

Na bado, mtatujua mpaka akina Rihanna tunaoongea kiswahili sanifu na kihaya.
Shubaamit!!!!
Twende zetu tukanyazane B, achana no hao wanaojifanya kula maini tu.
 
Acheni roho mbaya na husda.
Sasa mnataka sie wenye sura za baba tupendwe na akina nani?

Kwani wewe unataka sura au mnato?
Acheni ulimbukeni na ushamba.

Na bado, mtatujua mpaka akina Rihanna tunaoongea kiswahili sanifu na kihaya.
Shubaamit!!!!
😂😂😂😂😂
 
Hapa nilipo nimeudhika sana,hata dinner niliyopanga kupata naye imebidi tu nilipie 1 drink na msosi wake halafu nizuge nimepata dharura!

Yaani huyo binti nilimDM insta baada ya kuona picha zake,daaah nikasema mashalaaa!Aliporespond,tukabadilishana mawasiliano na tukaanza kuongea!

Bahati nzuri wote tuko kwa jiji,basi tukapanga leo tukutane Catalunya pale opposite na Mlimani city!

Lahaula,yaani mpaka anafika sijamjua kama ni yeye!Mpaka aliposhika simu na kupiga,simu yangu ilipoita ndio nikajivunga kumpungia mkono!

Nilikaa tu kuzuga kama dk 15 then nikazuga kupokea simu ya dharura!Nimemuahidi narudi ila ndio mazimaaaa!!!!

Wadada punguzeni filters!

Eti huyu ni Linah,jaman!!!

Ndio mkome mkipata natural wewe sio mzuri unaenda kwa akinashumileta mchana mrembo jioni 😅😅😅😅😅 yetu macho ninachoshukuru kwa Mungu aliniumba KE sio ME.
dah maisha ndio haya.
Mtaliwa na kupotezewa muda na imposters mpaka mzeeke.
Sio wa online tu ndio tabu hata wa mitaani.
Choose a simple lady get married have a life.
Do not waste your time because unachoose kuna mtu namjua kachoose ladies saizi anaitwa babuu.
Akipita tu wadada na vidangaji viko babuu.
Kisa i need a beatiful girl with this and that wewe hutaki maisha if you do ungeoa.
Mwanamke nikumweka the way you want it.
Ila mkiwa mnataka mumkute full package oa jini tu.
Couze unaweza kupata msomi sura tete.
Unaweza pata mzuri wa sira hajiongezi.
Unaweza pata vyote ila nimjuaji niye ni anastress bora umuache so mwanamke huwezi pata kakamilika only you need in this life it's her heart mtu anayekupenda sana.
Anayekutambua wewe kama wewe anayekuheshimu.
Sura sawa ila isiwe to much .
Hakuna malaika .
Hayamtazeekea huko ati basi.
 
Kumbe na wewe mdau,hiyo ya murder chose me mpaka nimekariri advts!"Murder took my mother,years later it came for my brother,thats when i found my mission in life!Every case i worked,i solved!Every case i solved i got a confession!I didnt choose murder,murder chose me!
Detective club sijaipenda sana,mmmh labda "your worst nightmere" nayo iko vizuri!
"I almost got away with it" nayo nzuri kiasi!Kuna "The perfect murder" na "the perfect suspect",ziko poa!
Kuna "home alone","beauty killer","blood relatives","i would kill for you","obsession dark desire","i was murdered","twisted sisters" nazo sio mbaya!
Kubwa la maadui ni episodes za "the american monster", ni noma aisee!Kuna huyo bibi alikuwa anaitwa black widower,mission yake ilikuwa kuvizia vizee vilivyostaafu na kulamba pension!Kanaingia kwa gia upweke wa mapenzi,kakishapata ndoa tu kanakudedisha na sumu ya benzoic!Hatareeeee sana!
Mbona umezisahau "A crime to remember", "Married (with a secret)", "Ripped from the headline", "Dead in the sea...."(hii ya juzi imenisikitisha sana),"I am Homicide" ( naipenda sana), "Murder Calls", "Bride Killer", "Evil Stepmothers", "dying for love", "Dead silent", "Grave secret" (naipenda sana hii), "Evil lives here" (msimu wake umeisha), "Your worst nightmare" (msimu wake umeisha), "Deadline with Tamron Hall".

Kuna ile ya Maria Elena Salinas....
Dark desires nayo naipenda.
Afu ile ya shadow of doubt sijawahi ielewaga aisee.

Yaani mie na ID....uncover the truth, huniambii kitu mazee
 
Ndio mkome mkipata natural wewe sio mzuri unaenda kwa akinashumileta mchana mrembo jioni 😅😅😅😅😅 yetu macho ninachoshukuru kwa Mungu aliniumba KE sio ME.
dah maisha ndio haya.
Mtaliwa na kupotezewa muda na imposters mpaka mzeeke.
Sio wa online tu ndio tabu hata wa mitaani.
Choose a simple lady get married have a life.
Do not waste your time because unachoose kuna mtu namjua kachoose ladies saizi anaitwa babuu.
Akipita tu wadada na vidangaji viko babuu.
Kisa i need a beatiful girl with this and that wewe hutaki maisha if you do ungeoa.
Mwanamke nikumweka the way you want it.
Ila mkiwa mnataka mumkute full package oa jini tu.
Couze unaweza kupata msomi sura tete.
Unaweza pata mzuri wa sira hajiongezi.
Unaweza pata vyote ila nimjuaji niye ni anastress bora umuache so mwanamke huwezi pata kakamilika only you need in this life it's her heart mtu anayekupenda sana.
Anayekutambua wewe kama wewe anayekuheshimu.
Sura sawa ila isiwe to much .
Hakuna malaika .
Hayamtazeekea huko ati basi.
Huko tunasaka wa kiburudisho tu,sio kuoa!
 
Mbona umezisahau "A crime to remember", "Married (with a secret)", "Ripped from the headline", "Dead in the sea...."(hii ya juzi imenisikitisha sana),"I am Homicide" ( naipenda sana), "Murder Calls", "Bride Killer", "Evil Stepmothers", "dying for love", "Dead silent", "Grave secret" (naipenda sana hii), "Evil lives here" (msimu wake umeisha), "Your worst nightmare" (msimu wake umeisha), "Deadline with Tamron Hall".

Kuna ile ya Maria Elena Salinas....
Dark desires nayo naipenda.
Afu ile ya shadow of doubt sijawahi ielewaga aisee.

Yaani mie na ID....uncover the truth, huniambii kitu mazee
Yeah,tuko pamoja,kuna hii "disappeared",siipendi maana inaishia inahang tu!Sema nina kama 2 weeks sijaangalia!Kiukweli Tamron hall anajua kuhadithia anakwambia murder becomes personal and she needs to know why!
Vp discovery science huwa unacheki?
 
Discovery science wanachekigi madogo.
Mie nakomaa na ID pamoja na Viasat Nature/History nako hapa kunakuwaga na matukio, acha tu.
Pia mara moja moja naendaga kule Sony kucheki Ghost stories.

Unakumbuka kila Jumamosi kulikuwa na Alaska Haunting?
Sijui kimeishia wapi.
Nilikuwa nakiogopa sana, mambo ya mizimu.

Afu kuna kile cha wale watu wanaouliwa halafu baadae wanakuja duniani kama mizimu kuja kuwaumbua waliowaua kisha wanarudi tena makaburini.
Nakumbuka kilionyeshwa Jumamosi mbili tu, kikasitishwa, mpaka leo hakipo....sijui kulitokea nini.

Instagram kuna page ya "cha kushangaza", "cha kustaajabisha", "je wajua2018"

Na kuna hiki hapa cha huko mambele
20181005_112414.jpg

Hiki ni balaaaaa....
Jaribu kucheki buddy.
 
Yap...Disappear huwa kinaishia njiani nami napenda makala zinazofika mwisho.
Hivi huwa najiulizaga, hawa wanaopotea wanaendaga wapi?

Hii ya juzi jamaa alipotea na gf wake pamoja na gari yao mwaka wa 10 sasa.
Wamedive, angani, ardhini kwa miaka 8 ila hawajawapata.
Hawa huwa wanakuwa wanaendaga wapi?
Wanayayuka au wanapaa?
Hapo ndo napochokaga
 
View attachment 887282
Hiki ni balaaaaa....
Jaribu kucheki buddy.
Pouwa nitacheki,ila kuna hiyo "my ghost story" na paranormal activities,kuna siku nilicheki usiku,lahaula sikulala!
Ila aisee ukizoea kuangalia ID,halafu ukaona jinsi polisi wetu wanavyoattend cases mbalimbali za mauji,unaweza pata hasira sana!
 
Ngoja nianze mazoezi maana isije fika Jf Party bado niko na tumbo langu zikaja kumiminika thread hapa
"Ohhhh Madame kuponda wanaume wakati ana sura kama upande wa chupi"...akha!!!
Hahahahahaaa...
 
Yap...Disappear huwa kinaishia njiani nami napenda makala zinazofika mwisho.
Hivi huwa najiulizaga, hawa wanaopotea wanaendaga wapi?

Hii ya juzi jamaa alipotea na gf wake pamoja na gari yao mwaka wa 10 sasa.
Wamedive, angani, ardhini kwa miaka 8 ila hawajawapata.
Hawa huwa wanakuwa wanaendaga wapi?
Wanayayuka au wanapaa?
Hapo ndo napochokaga
Wapo tu ila sema hawajapatikana,kuna siku mabaki yao yatapatikana tu!
Ulibahatika kuona ile episode ya "the perfect murder" ambapo watu wawili walikuwa wrongly convicted for over 17 years kwa kosa la kubaka na kumuua binti?It was so shocking,kipindi uhalifu unatendeka hakukuwa na DNA!
 
Kama kapaka mkorogo ni haki yake.
Hukumnusa papuchi maana wapaka mikorogo wakitembea juani huwa wananuka uchi hatari.
Ungepitisha kidole afu unuse....yaani mie nilivyo na kinyaa, ningemkimbia.
Mkorogo...hapana.

Kwa hapo nakupongeza
Mkorogo unakuaga na kahurufu Fulani halafu kanakuaga mpaka kwenye NGUO zao
 
Pouwa nitacheki,ila kuna hiyo "my ghost story" na paranormal activities,kuna siku nilicheki usiku,lahaula sikulala!
Ila aisee ukizoea kuangalia ID,halafu ukaona jinsi polisi wetu wanavyoattend cases mbalimbali za mauji,unaweza pata hasira sana!
Yaani ni hasira sana.
Ila police wa kule wako makini ktk uchunguzi.
Kesi ina miaka 30 ila wanayo tu.

Ukitaka kufaidi kesi hizi ni Alhamisi maana ni siku za "Detective night"
Yes, paranormal activities na Ghost stories....afu wanavikiwekaga saa 5 usiku.
Nakomaa kucheki huku nimebana macho.
 
Dah
Umemkosea sana.
Ulimuachia nauli?
Wakati tunapanga kukutana suala la nauli halikujitokeza so no,i didnt leave a penny
Nauli unajiongeza tu kidume. Ulitakiwa uone huruma katoka alipotoka kuja kukuona tena kina sie wapanda BajaJ na maisha ya kuunga unga hapo kapoteza hela yake ya matumizi ujue
 
Back
Top Bottom