Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
DahKanipigia kuwa nachelewa na yeye ashamaliza kinywaji,nimemjibu next time
Umemkosea sana.
Ulimuachia nauli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DahKanipigia kuwa nachelewa na yeye ashamaliza kinywaji,nimemjibu next time
Umeona eeeeHii syo kwa jamaa tuu hata wanawake humu anaponda kitu kumbe anatamani hata angekipata hicho hicho
Kuna kipindi katika channel ya ID(investigation discovery) kinaitwa Web of lies,ni balaa!Ha ha ha taswira niliyonayo kwako ni mweupe kiasi,chura ipo,na una ubonge fulani...Ikija imetokea mmekutana na matokeo yamekuwa tofauti na matazamio hayo,ndipo shida inapoanza.
Kwema bro ? Pole kwa yaliyo kukuta. Pili nimeona matumizi mabaya ya tamko " nimeghafirika ", usahihi wake kimaandishi no "nimeghafilika" na usahihi wake kimaana ni "kusahau".Hapa nilipo nimeghafirika sana,hata dinner niliyopanga kupata naye imebidi tu nilipie 1 drink na msosi wake halafu nizuge nimepata dharura!
Yaani huyo binti nilimDM insta baada ya kuona picha zake,daaah nikasema mashalaaa!Aliporespond,tukabadilishana mawasiliano na tukaanza kuongea!
Bahati nzuri wote tuko kwa jiji,basi tukapanga leo tukutane Catalunya pale opposite na Mlimani city!
Lahaula,yaani mpaka anafika sijamjua kama ni yeye!Mpaka aliposhika simu na kupiga,simu yangu ilipoita ndio nikajivunga kumpungia mkono!
Nilikaa tu kuzuga kama dk 15 then nikazuga kupokea simu ya dharura!Nimemuahidi narudi ila ndio mazimaaaa!!!!
Wadada punguzeni filters!
Yes,nimeshagundua hiloKwema bro ? Pole kwa yaliyo kukuta. Pili nimeona matumizi mabaya ya tamko " nimeghafirika ", usahihi wake kimaandishi no "nimeghafilika" na usahihi wake kimaana ni "kusahau".
Kwahiyo hapo umelidhulumu hilo tamko.
Narudi......
Yeah, that's me, japo tunapewa collabo na camera 360...si unajua tena, mambo ya kuficha chunusi na weusi wa mkorogoHa ha ha taswira niliyonayo kwako ni mweupe kiasi,chura ipo,na una ubonge fulani...Ikija imetokea mmekutana na matokeo yamekuwa tofauti na matazamio hayo,ndipo shida inapoanza.
Afi sa hv msimu wa Web of lies umeisha.Kuna kipindi katika channel ya ID(investigation discovery) kinaitwa Web of lies,ni balaa!
Kuna jamaa mpaka alijiua sababu ya mtu hata hajawahi kukutana naye na hizo picha alizokuwa anaziona wala hazikuwa za muhusika!!!!
WeeeWakati tunapanga kukutana suala la nauli halikujitokeza so no,i didnt leave a penny
Ha ha ha Jikubali tu,hakuna shida mkuu cha muhimu pale panafikika.Yeah, that's me, japo tunapewa collabo na camera 360...si unajua tena, mambo ya kuficha chunusi na weusi wa mkorogo
Asa kama panafikika.....mbona mnatukimbia tukija?Ha ha ha Jikubali tu,hakuna shida mkuu cha muhimu pale panafikika.
Ha ha ha ha,nakumbuka nilishajaribu kufanya mawasiliano na mtu nisiye mfahamu miaka 13 iliyopita yeye alikuwa chuo kimoja hapo Dar,wakati mimi nikiwa moshi.Nimetoka moshi nimemfuata,kufika ubungo akaja kunipokea mimi simjui yeye anijui;nikampigia simu kuna sehemu alikuwa amejificha na wenzake;baada ya kuonana kila mmoja ana wasiwasi na mwenzie kimtazamo;nilichofanya nikatafuta sehemu ya faragha tukaagiza vinywaji pamoja na wenzake tukanywa huku tunabadilishana mawazo.Baada ya muda tukaagana,nikamwambia tutaendelea kuwasiliana.Kesho yake narudi moshi nashanga anapiga simu,...mpenzi mbona hujaniachia ela ya matumizi.baada ya hapo yakawa mawasiliano ya kawaida hadi kupotezana.Asa kama panafikika.....mbona mnatukimbia tukija?
Acha tudamshi na filters za wazungu
Mimi ukiniita, umenipenda....hujanipenda, lazima nauli unipe, tena ya Uber.Ha ha ha ha,nakumbuka nilishajaribu kufanya mawasiliano na mtu nisiye mfahamu miaka 13 iliyopita yeye alikuwa chuo kimoja hapo Dar,wakati mimi nikiwa moshi.Nimetoka moshi nimemfuata,kufika ubungo akaja kunipokea mimi simjui yeye anijui;nikampigia simu kuna sehemu alikuwa amejificha na wenzake;baada ya kuonana kila mmoja ana wasiwasi na mwenzie kimtazamo;nilichofanya nikatafuta sehemu ya faragha tukaagiza vinywaji pamoja na wenzake tukanywa huku tunabadilishana mawazo.Baada ya muda tukaagana,nikamwambia tutaendelea kuwasiliana.Kesho yake narudi moshi nashanga anapiga simu,...mpenzi mbona hujaniachia ela ya matumizi.baada ya hapo yakawa mawasiliano ya kawaida hadi kupotezana.
Tatizo lenu namba moja ni hilo 'hamjiamini' periodUnadhani nitaweka camera front?
Thubutu