Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Pole sana wazungu wametuletea vibweka vya camera,
Hapa nilipo nimeudhika sana,hata dinner niliyopanga kupata naye imebidi tu nilipie 1 drink na msosi wake halafu nizuge nimepata dharura!

Yaani huyo binti nilimDM insta baada ya kuona picha zake,daaah nikasema mashalaaa!Aliporespond,tukabadilishana mawasiliano na tukaanza kuongea!

Bahati nzuri wote tuko kwa jiji,basi tukapanga leo tukutane Catalunya pale opposite na Mlimani city!

Lahaula,yaani mpaka anafika sijamjua kama ni yeye!Mpaka aliposhika simu na kupiga,simu yangu ilipoita ndio nikajivunga kumpungia mkono!

Nilikaa tu kuzuga kama dk 15 then nikazuga kupokea simu ya dharura!Nimemuahidi narudi ila ndio mazimaaaa!!!!

Wadada punguzeni filters!
 
2014 Nilikutana na Kabinti fulani Fb, kwa muonekano wa picha ni mzuri sana na nikaona bonge la deal kukubaliwa na mwanamke wa calber ile.. tukapanga kukutana usa river, aisee Nilichoka.. Nikampigia kuhakikisha kama ni yeye alipopokea tu nikazima na kuzima simu.. Mpaka na leo demu wa social Media Hapana!

Kiongozi ukashindwa hata kumpigia video call ucornfirm value Io
 
Afi sa hv msimu wa Web of lies umeisha.
Wameleta ya Killer closer.
Naangalia hapa ya Murder chose me
Kumbe na wewe mdau,hiyo ya murder chose me mpaka nimekariri advts!"Murder took my mother,years later it came for my brother,thats when i found my mission in life!Every case i worked,i solved!Every case i solved i got a confession!I didnt choose murder,murder chose me!
Detective club sijaipenda sana,mmmh labda "your worst nightmere" nayo iko vizuri!
"I almost got away with it" nayo nzuri kiasi!Kuna "The perfect murder" na "the perfect suspect",ziko poa!
Kuna "home alone","beauty killer","blood relatives","i would kill for you","obsession dark desire","i was murdered","twisted sisters" nazo sio mbaya!
Kubwa la maadui ni episodes za "the american monster", ni noma aisee!Kuna huyo bibi alikuwa anaitwa black widower,mission yake ilikuwa kuvizia vizee vilivyostaafu na kulamba pension!Kanaingia kwa gia upweke wa mapenzi,kakishapata ndoa tu kanakudedisha na sumu ya benzoic!Hatareeeee sana!
 
Hapa nilipo nimeudhika sana,hata dinner niliyopanga kupata naye imebidi tu nilipie 1 drink na msosi wake halafu nizuge nimepata dharura!

Yaani huyo binti nilimDM insta baada ya kuona picha zake,daaah nikasema mashalaaa!Aliporespond,tukabadilishana mawasiliano na tukaanza kuongea!

Bahati nzuri wote tuko kwa jiji,basi tukapanga leo tukutane Catalunya pale opposite na Mlimani city!

Lahaula,yaani mpaka anafika sijamjua kama ni yeye!Mpaka aliposhika simu na kupiga,simu yangu ilipoita ndio nikajivunga kumpungia mkono!

Nilikaa tu kuzuga kama dk 15 then nikazuga kupokea simu ya dharura!Nimemuahidi narudi ila ndio mazimaaaa!!!!

Wadada punguzeni filters!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] bila filters hutokaa uwatamani hata. Lazima wapige makeup kabla ya kula selfie
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] bila filters hutokaa uwatamani hata. Lazima wapige makeup kabla ya kula selfie
Halafu katika picha 5,4 zinafutwa na moja ndio inakuwa imetoka barabara!
 
2014 Nilikutana na Kabinti fulani Fb, kwa muonekano wa picha ni mzuri sana na nikaona bonge la deal kukubaliwa na mwanamke wa calber ile.. tukapanga kukutana usa river, aisee Nilichoka.. Nikampigia kuhakikisha kama ni yeye alipopokea tu nikazima na kuzima simu.. Mpaka na leo demu wa social Media Hapana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani sura imejaa vijipele vya mkorogo uliogonga mwamba,Insta unaona yuko pyeeeeeee,anang'aaa yani!Kumuona sasa,halafu kama alikuwa anatembea kaumbali kidogo maana kijasho kilikuwa kimekausha make up usini hivyo kumuacha kama alivyo kiuhalisia!!!Daaah,alivyoketi ndio kaanza kuhangaika kuirudishia make up wakati picha lote mi nilishaliona!Bahati nzuri kakuta niko bia ya kwanza,angechelewa akakuta nimeshaanza kupendeza mbona ningemuona mrembo tu!
Haaaahaaaaa ewwwww[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji481] [emoji481] [emoji481]

We handsome?
 
Haaaahaaaaa ewwwww[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji481] [emoji481] [emoji481]

We handsome?

Hahaahaaaaa,atleast mimi aliniona kama nilivyo bila photoshop na akaridhika,kingine ilitakiwa iwe one night stand,anachukua chake anasepa!!Sasa kama anachukua chake,hata kama nafanana na maiti avumilie tu,hataki achape lapa!
 
Hapa nilipo nimeudhika sana,hata dinner niliyopanga kupata naye imebidi tu nilipie 1 drink na msosi wake halafu nizuge nimepata dharura!

Yaani huyo binti nilimDM insta baada ya kuona picha zake,daaah nikasema mashalaaa!Aliporespond,tukabadilishana mawasiliano na tukaanza kuongea!

Bahati nzuri wote tuko kwa jiji,basi tukapanga leo tukutane Catalunya pale opposite na Mlimani city!

Lahaula,yaani mpaka anafika sijamjua kama ni yeye!Mpaka aliposhika simu na kupiga,simu yangu ilipoita ndio nikajivunga kumpungia mkono!

Nilikaa tu kuzuga kama dk 15 then nikazuga kupokea simu ya dharura!Nimemuahidi narudi ila ndio mazimaaaa!!!!

Wadada punguzeni filters!
Mimi ilinitokea mwaka 2013 lakini yule binti alikua ni mzuri sana na si kaa hivi ulichokutana nacho wewe,mi nikiwa zangu Mwanza na maeneo mengine ya kazi nikampenda binti kupitia fb,alikua anaishi kinondoni Dar es Salam..siku ya siku nimeenda zangu kwenye shughuli za kiutafutaji nikamtafuta na tukaonana..ukweli ni mzuri sana,tatizo alikua anapenda sana pesa na ninadhani ndicho alichokua analenga huko mitandaoni.nilishindwa baada ya miezi kama mitatu tu maana alikua kila baada ya siku kama mbili au tatu anataka pesa za mambo mengi yasiyoisha.na wakati fulani alitaka aje kwangu Mwanza nikastuka,si haba kwa mwanamke mpenda kuvuna angekuja kwa hicho hicho kidogo nilichonacho yamkini ningejikuta hachomoki ndani ili anivune ipasavyo.nikamkataa nikamwambia naenda zangu Kampala kwa muda mrefu kidogo akawa mpole,nikajitoa taratibu nikaachana nae.kwa sura na umbo alikua poa sana ila hapo tu kunifanya ATM ndipo niliposhindwa
 
Mimi ilinitokea mwaka 2013 lakini yule binti alikua ni mzuri sana na si kaa hivi ulichokutana nacho wewe,mi nikiwa zangu Mwanza na maeneo mengine ya kazi nikampenda binti kupitia fb,alikua anaishi kinondoni Dar es Salam..siku ya siku nimeenda zangu kwenye shughuli za kiutafutaji nikamtafuta na tukaonana..ukweli ni mzuri sana,tatizo alikua anapenda sana pesa na ninadhani ndicho alichokua analenga huko mitandaoni.nilishindwa baada ya miezi kama mitatu tu maana alikua kila baada ya siku kama mbili au tatu anataka pesa za mambo mengi yasiyoisha.na wakati fulani alitaka aje kwangu Mwanza nikastuka,si haba kwa mwanamke mpenda kuvuna angekuja kwa hichi hicho kidogo nilichonacho yamkini ningejikuta hachomoki ndani ili anivune ipasavyo.nikamkataa nikamwambia naenda zangu Kampala kwa muda mrefu kidogo akawa mpole,nikajitoa taratibu nikaachana nae.kwa sura na umbo alikua poa sana ila hapi tu kunifanya ATM ndipo niliposhindwa
Wanatumia gharama kuvaa vizuri na kupiga picha hizo za kuweka insta so lazima wakuchape vizuri!
 
Angalia usinefikisha miaka 50 ndio ukaanza kutongoza hovyo
Hiyo hovyo ndo mnakutana na wanawake wa hovyo mnakuja lalamika humu..lzm ujue sio kila mwanamke ni type yako....baamedi wewe,mwanafunzi wewe,beki 3 wewe,wa chuo wewe,wafanyakazi wewe,majimama wewe,wakununua wewe khaaaa
 
Osha kabisa!
 
Sio poa wala nini kwani yeye hana haki ya kupendwa, na kwa nini umkimbie nafikir hujatumia uungwana
 
Back
Top Bottom