Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Kuna dada wa kazi mmoja alikuwa anapaka mkorogo.Mkorogo unakuaga na kahurufu Fulani halafu kanakuaga mpaka kwenye NGUO zao
ukiingia chumbani kwake, harufu ya K tu.
Dah!!!
Hv wanawake wa hivo wanatiwaje na waume zao usiku?
Au wanaoga na kujisugua mpaka ule utelezi wa cream uishe?