Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

tukipanga appointment saa saba mchana bhas mimi niko location tangu saa 4 kamili na macho yangu yanakua yanafanya kazi ipasavyo na ntakaa Angle ambayo iwe iwavyo mi ndo ntaanza kukuona..bwana nikute ni lipapai N hapo hapo natia Block najilaumu nauli yangu tu..maana inaniumaga kweli kupoteza nauli na muda mwsho unakutana na mtu ka idd amin Inauma acha kbsa
 
Kwahiyo sie wanene atupende nani sasa?
Kaka zetu au?
 
Afu usisahau wale wanaume wanaoomba kidate na mwana jf kumbe kazi yake kwenda kukuuliza flani na flani wanafananaje!!
Wana miili kama majeneza au wana matumbo kama mifuko ya mbolea...

Wanaume wa humu Jf mkome huo mchezo
Hahahahaaa. Sijawahi kukutana na mkaka wa JF kibonge
 
Usikate tamaa mkuu, hata wabaya nao wanataka wapendwe waambiwe ni wazuri km malaika etc, ungemsifia tu kwenye picha ameonekana mweupe sana labda ila naturally yuko cute and beautiful, afu unampa air time ya kutosha afu ukisepa ndo utajilaumu baadae.
 
tukipanga appointment saa saba mchana bhas mimi niko location tangu saa 4 kamili na macho yangu yanakua yanafanya kazi ipasavyo na ntakaa Angle ambayo iwe iwavyo mi ndo ntaanza kukuona..bwana nikute ni lipapai N hapo hapo natia Block najilaumu nauli yangu tu..maana inaniumaga kweli kupoteza nauli na muda mwsho unakutana na mtu ka idd amin Inauma acha kbsa
Dah sio fresh mkuu, unaubaguzi kweli kwa dada zetu waliopewa sura za babu mzaa babu
 
Siwezi mzidi mpenzi wangu uzuri bwana,asa mpenzi ana sura ka babu alafu hao wanaongozaaaa kwa kuzaa watoto wanaofanana naooooo acha kbsa..dem akiwa mzuri sura ya mtoto inakimbilia kwa baba sjui hawa watoto huko tumbon wanajuaga nan mwnye sura ya ajabu!
 
2014 Nilikutana na Kabinti fulani Fb, kwa muonekano wa picha ni mzuri sana na nikaona bonge la deal kukubaliwa na mwanamke wa calber ile.. tukapanga kukutana usa river, aisee Nilichoka.. Nikampigia kuhakikisha kama ni yeye alipopokea tu nikazima na kuzima simu.. Mpaka na leo demu wa social Media Hapana!

Mkuu upo usa river!?
 
Back
Top Bottom