Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Madame mpaka saiv uko huku,huna wa kushikilia zigo nin?
Mi ndio hvyo nimetoka kapa leo
We endelea tu kutoka kapa
Umeliachia goma la Catalunya sa hv unakuja lalamika unasikia hamu.

Hebu nidadavulie, picha alizoweka insta na yeye ziko tofauti sana au kitu gani kimeongezeka au kupungua?
 
Wewe umapoamua kutongoza mdada humu kwenye media, tegemea lolote.
Jiandae kwa lolote
Wanapokuja PM/in box ndio sehemu ya kuyajenga na kila mmoja kufunguka kwa mwenzie ikiwa ni pamoja na picha halisi
 
Humu...we acha tu.
Midomo yetu sisi wanawake samtain inasaidia sana.
Umamchamba mwanaume mpaka anaona giza mbele...ila ukweli unaujua moyoni
Hahaha hakika bora umesema asee, watu tunaangalia tuu,
 
Humu...we acha tu.
Midomo yetu sisi wanawake samtain inasaidia sana.
Umamchamba mwanaume mpaka anaona giza mbele...ila ukweli unaujua moyoni
Hahahaaa usiombee kukutwa na na hilo chambo 😀😀😀😀 ni defense mechanism.
 
We endelea tu kutoka kapa
Umeliachia goma la Catalunya sa hv unakuja lalamika unasikia hamu.

Hebu nidadavulie, picha alizoweka insta na yeye ziko tofauti sana au kitu gani kimeongezeka au kupungua?
Yaani sura imejaa vijipele vya mkorogo uliogonga mwamba,Insta unaona yuko pyeeeeeee,anang'aaa yani!Kumuona sasa,halafu kama alikuwa anatembea kaumbali kidogo maana kijasho kilikuwa kimekausha make up usini hivyo kumuacha kama alivyo kiuhalisia!!!Daaah,alivyoketi ndio kaanza kuhangaika kuirudishia make up wakati picha lote mi nilishaliona!Bahati nzuri kakuta niko bia ya kwanza,angechelewa akakuta nimeshaanza kupendeza mbona ningemuona mrembo tu!
 
Hahahaaa usiombee kukutwa na na hilo chambo 😀😀😀😀 ni defense mechanism.
Yaani hapo mwanamke unaonekana muongo kumbe wewe ndo mkweli.
Yaani tulivyo na umoja humu....utajutraaa!!!!!
 
Yaani sura imejaa vijipele vya mkorogo uliogonga mwamba,Insta unaona yuko pyeeeeeee,anang'aaa yani!Kumuona sasa,halafu kama alikuwa anatembea kaumbali kidogo maana kijasho kilikuwa kimekausha make up usini hivyo kumuacha kama alivyo kiuhalisia!!!Daaah,alivyoketi ndio kaanza kuhangaika kuirudishia make up wakati picha lote mi nilishaliona!Bahati nzuri kakuta niko bia ya kwanza,angechelewa akakuta nimeshaanza kupendeza mbona ningemuona mrembo tu!
Kama kapaka mkorogo ni haki yake.
Hukumnusa papuchi maana wapaka mikorogo wakitembea juani huwa wananuka uchi hatari.
Ungepitisha kidole afu unuse....yaani mie nilivyo na kinyaa, ningemkimbia.
Mkorogo...hapana.

Kwa hapo nakupongeza
 
Na wanaume mna tabia ya kutaka picha kwanza.
Hivi mna nini lakini?
Unakuwa umependa post zangu au sura yangu?
Ha ha ha post zinaweza kuwa poa hadi antena ikakamata vizuri, na katika post hizo mwanaume kuna picha anakuwa anaiweka kichwani,akitegemea mwisho wa siku alichokiona kwenye post kinaendana na mtu aliyemuweka kichwani.
 
Kama kapaka mkorogo ni haki yake.
Hukumnusa papuchi maana wapaka mikorogo wakitembea juani huwa wananuka uchi hatari.
Ungepitisha kidole afu unuse....yaani mie nilivyo na kinyaa, ningemkimbia.
Mkorogo...hapana.

Kwa hapo nakupongeza
Aisee
 
Back
Top Bottom