Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Jukwaa lenye vilaza JF ni la siasa kule kuna wavuta bangi hawatumii akili kabisa aisee
 
Bora hata wewe mstaarabu umetoa 10
Mtoa mada kamuacha kama alivyomkuta
Kwani kukutana lazima apate hela yeye Hana ? Au hapo amefikaje? Acheni kutuonea asee kuwa kila tukikutana lazma upewe posho kwenye hicho kikao
 
Nyie mbona hamueleweki?
Mara mabonge hamuwataki na hata wanaume wengine hawawataki.
Mara sijui kila mtu na chaguo lake.
Hebu semeni neno moja mueleweke....tujijue sie mabonge tuko wapi....duniani au akhera
 
Ndio la MMu na mada hii ndo sahihi.
Ila nina maana ukitaka wanawake warembo, kapige ruti kambi za mamiss huko.
Halafu sijasema natafuta wanawake warembo,ni kwamba hili ni tukio ambalo limetokea tu nikakuta ndivyo sivyo!Isionekana its my mission kutafuta wanawake wazuri,hell no!U got it all wrong!
 
Njema sana. Tumepotezana sana. Maandalizi ya JF Party yanaendeleaje?
Maandalizi poa tu.
Sasa hivi niko Gym najifua nitoe hili tumbo nisije anzishiwa thread na waja humu
 
khy hukumla
 
Maandalizi poa tu.
Sasa hivi niko Gym najifua nitoe hili tumbo nisije anzishiwa thread na waja humu
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ haya, kila la kheri. Nitachanga, ila kwa sababu za kikazi sitakuwepo kwenye party!
 
Sina kiu kivile,raha ya tunda ulitongoze,ulisogeze mdogo mdogo mpaka unaenda kulibanjua!Hii ya sh ngapi mzigo,hapana!
Si ndo ulikuwa unaanza.
Ina maana angekuwa amekuvutia, usingekuja kulalama hapa
 
Jukwaa lenye vilaza JF ni la siasa kule kuna wavuta bangi hawatumii akili kabisa aisee
Yaani jukwaa la hovyo siku zote.
Afu wanajiita wana busara.

Wangekuwa na busara wangekuja kuanika mwisho wao wa kufikiri hapa?
Unajisifu kabisa eti nenda kaone mada nilizoanzisha Jukwaa la siasa.
Mie nilijua jukwaa la dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…