Nimejuta: Sitatamani tena binti kupitia Social Media!

Mimi nwenyewe yalinikuta hayo kama majuma 2 yaliyopita , nikiwa kwenye gari tinted nikawanampigia simu ,tulipokuwa tunaongea yeye akawa hanioni na mimi nilikuwa namuona,duh nilivyokuwa namuona DM ni tofauti sana na nilivyomuona mubashara,nilichofanya ni kumtumia buku 10 chapuchapu ya nauli kwenye Mpesa na kumuandikia ujumbe kwamba nimepata dharula!!!
 
Bora hata wewe mstaarabu umetoa 10
Mtoa mada kamuacha kama alivyomkuta
 
Ndio.
Kwani ukinipa nauli sh 30,000 kuna nini?
Muache ubahili ndio maana mnapata mademu uozo
Daaaaah kwa hali hiyo Tukikutana leo basi itabidi tukutane tena baada ya wiki 2!
 
Back
Top Bottom