Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Dada ushapewa mwongozo anza biashara miluzi mingi itlakupoteza sasa.... Vifungashio nenda kkoo kule karibu na shimoni kuna maduka yamezunguka soko utapata unachohitaji.
Nb: biashara ya chakula zingatia sana usafi wako pia uwe msafi miguuni sio uvae ndala afu miguu ina vumbi hao wateja wa posta utawakosa labda uje huku buza
Nb: biashara ya chakula zingatia sana usafi wako pia uwe msafi miguuni sio uvae ndala afu miguu ina vumbi hao wateja wa posta utawakosa labda uje huku buza