Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Afe peke yake.Hata asije, achukue Chassis number aingize EAA alie mwenyewe huko….
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afe peke yake.Hata asije, achukue Chassis number aingize EAA alie mwenyewe huko….
Chassis number kama ilivyo usiammend chochoteKuna kitu kikubwa umenifundisha mkuu, kwenye hiyo website ya eaa unaingiza nini kupata data!?, chassis number ya gari!?,tupeane ujuzi tafadhali..
Weka chasis number usiammend chochote, herufi number na hyphens ziweke kama zilivyo.Tupeane ujuzi kuhusu eaa website tafadhali 🙏🙏
Simu ya kazi hiyo haina front camera🤣🤣🤣Ila mkuu, wakati tunaendelea discuss hii topic me nataka kujua iyo simu yako camera ya mbele ipo wp?
Kwa kweli, ila kuna zingine ndani na nje zimenyooka ila unakuta ishagonga 190kHii gari kabla ya kuangalia odometet ushajua imechoka.
Aingie EAA certificate aweke Chassis number bila kuammend chochote.
Madmax amekujibu na yuko sahihi kabisa, odo ni hiyo unayoiona kwa chini hapo hiyo ya juu ni mileageMbona iliyopo hapo sio Actual distance (sio Odometer readings). Ukiona kuna herufi A au B hiyo ni setting distance (trip distance), actual distance kunakuwa na herufi ODO maana yake Odometer reading.
Hiyo haibadiliki mkuu
mtoke kwenye kuwazia km angalieni ubora wa gariInasikitisha, wanavyofanya ni kucheza na darsh board na kufanya zionekane zina KM ndogo.
Wako wapi?Nenda Jan international..hawashushi odometer
Wako wapi?
Nimeshasikia watu kadhaa wakisema hivi… nitajaribu siku mojaNenda Jan international..hawashushi odometer
Cheap is expensiveMi nadhani ukitaka kilichonyooka agiza mpya. 0km. Hizi used zetu ukianza kuzikagua sana yatakushinda. Kikubwa angalia yenye unafuu, lipia kavimbe huko.
Shukrani sana mkuu..., Kuna msemo unasema "Learn from the mistakes of others, you won't live long to make them all by yourself ", kila elimu tukiilipia ada tutalipa ada nyingi sana.., Asante 🙏🙏Weka chasis number usiammend chochote, herufi number na hyphens ziweke kama zilivyo.
Ndiyo lengo la dpw kufanya tanzania na africa kuwa dampo ...kwasasa tz hatuna kiongozi nchiniView attachment 3099763
Mfano hiyo hapo juu ni actual mileage inayonekana kwenye gari.
View attachment 3099769
Hii ni mileage inayoonekana kwenye website ya EAA.
Gari imeshushwa 120,000Km
sasa hiyo ina uafadhali ila zipo ambazo ni worst kuliko hiyo.
inaonekana kununua gari na kuja kuuza na actual Kilometers watu hawataki kununua, kwa hiyo mwendo kwa sasa ni huo.
Zipo gari nimekuta zimetembea 200,000Km ila dashboard ina 55,000Km,.
Hapo sijagusia Diagnostic Reports ni majanga matupu, Gari nyingi hapo zilikuwa na faults kuanzia 8 mpaka 20.
Tumeanza kusema siku nyingi usinunue gari kwa Km, tafuta gari nzima hata kama ina 300000Km tulia humo.
Lengo la kukagua ni kuona kama unaweza kuyabeba madhaifu utayokutana nayo si kukimbia, hizo gari zote tumekagua jamaa kafikia hatua ya kuchukua gari ambayo ina 127000km japo dash yake iliandika 56000Km.Mi nadhani ukitaka kilichonyooka agiza mpya. 0km. Hizi used zetu ukianza kuzikagua sana yatakushinda. Kikubwa angalia yenye unafuu, lipia kavimbe huko.